ASANTEKama kuna mtu alikuambia eti baada ya haya maisha ya hapa duniani utaenda Mbinguni, basi kuanzia leo fahamu kwamba umedanganywa sana, tena sana.
Kina nani hao teule mkuu...Mataifa yaliyo tuletea dini ndio yako mstari wa mbele kwenye vita ya wao kwa wao hawa jamaa wa taifa teule ni wakorof sana
Kuna mda tufike atua tujitambue kama waliotuletea dini wana misunderstanding wenyewe kwa wenyewe wakat wao walitufundisha amani na upendo na ukikikua ni dhambi halafu wao wanayafanya bila wasi wasi
Israel inasadikika ni taifa teuleKina nani hao teule mkuu...
Maelezo yake ni marefu sana lakini nitakujibu kwa kifupi;... iko hivi baada ya kufa utafufuliwa hapa hapa duniani na kuhukumiwa hapa hapa. Baada ya hukumu, kama utakuwa hauna hatia utaanza maisha mengine mapya hapa hapa duniani, na kama ukikutwa na hatia utatupwa katika moto utakaokuwa ukiwaka hapa hapa duniani.ASANTE
Kwa hiyo baada ya maisha tunaenda wapi kwa unavyofahamu?
AsanteMaelezo yake ni marefu sana lakini nitakujibu kwa kifupi;... iko hivi baada ya kufa utafufuliwa hapa hapa duniani na kuhukumiwa hapa hapa. Baada ya hukumu, kama utakuwa hauna hatia utaanza maisha mengine mapya hapa hapa duniani, na kama ukikutwa na hatia utatupwa katika moto utakaokuwa ukiwaka hapa hapa duniani.
Maana yake ni kwamba Paradiso na Jehanamu havipo kwa sasa hivi, lakini ipo siku zitakuwepo, nazo zitakuwepo hapa hapa duniani. Tena baada ya hukumu yote kufanyika, MUNGU mwenyewe atashuka duniani na kuishi na wanadamu wasiokuwa na hatia hapa hapa duniani.
Maelezo yake ni marefu sana lakini nitakujibu kwa kifupi;... iko hivi baada ya kufa utafufuliwa hapa hapa duniani na kuhukumiwa hapa hapa. Baada ya hukumu, kama utakuwa hauna hatia utaanza maisha mengine mapya hapa hapa duniani, na kama ukikutwa na hatia utatupwa katika moto utakaokuwa ukiwaka hapa hapa duniani.

Utumwa tu na akili za kushikiwa na kitabu cha mtu mweupe, kwani wewe huwezi kutumia kichwa chako ukatafakari na kujibu hoja hadi utumie hicho kitabu cha mkoloni?Soma yohana 5:25-29
Ni kwa muda mrefu sana nimekuwa nikijiuliza hivi mababu zetu waliokuwepo kabla ya dini zetu kuu yaani ukristo na uislamu haujaingia nchini wataenda mbinguni?
Maana kwa asilimia kubwa walikuwa wanafanya matendo ambayo dini zetu zinazuia mathalani...kutoa kafara kwa miungu, kuuana kwa kigezo cha mila na desturi nakadhalika.
Ukiangalia vigezo vingi vya mtu kuwa msafi wa kiimani mengi hawakuyafanya mababu zetu.
Kwa watu wanaojua vizuri mafundisho ya dini naombeni msaada katika hili maana mimi Nebuchadinezzer sina ujuzi katika hili.
ASANTENI.
manabii wapo ila katika mfumo mwingine,ndiohao wanaojulikana kama mitume jina liloanza kutumika kipindi cha Yesu Kristo,wainjilisiti na wachungaji.Asante mkuu kwa maelezo mazuri...labda niongeze swali je siku hizi manabii wapo?
Nieleze basi, dini ni nini? Pengine tunajadili kitu ambacho hatukijui, tuanzie hapo.Na pia unaweza kutueleza ni kwa kiwango gani mwarabu na mzungu walitumia mistari feki na hewa toka kwenye 'Kurani' na 'bibilia' ili kuwamfanya mtu mweusi mtumwa wa fikra/akili kiasi cha kujidharaulisha na kujifukarisha mbele ya mtu mweupe? Eg. " Ni rahisi kwa ngamia kupenya tundu la sindano kuliko tajiri kuingia mbinguni".Fikra kuwa utumwani ni pale kama hazifanyi yale yaliyokusudiwa kamwe dini haijawahi kuweka fikra utumwani