Nebuchadinezzer
JF-Expert Member
- Oct 1, 2018
- 1,403
- 2,550
Mkuu nataka kujua vigezo ambavyo vitatumika siku ya kiama kwa mababu zetu ambao walikuwepo kabla kuja kwa hizi dini tulizonazo kwa sasa maana asilimia kubwa mababu zetu walifanya vitu ambavyo ni haramu kwa dini zetu.aiseee me cjakuelewa
Use brain ili uelewe mkuu.Umezidisha sifa had I umeandika kitu kisichoeleweka HUENDI MBINGUNI
Kama hawajawahi kupata habari za dini sahihi na uwepo wa mola Muumba watasamehewa ila kama walipata kupata kuambiwa basi hawatasamehewa.
Mkuu ushawahi kupaona mbinguni,?? Kuna proof yeyote kuhusu hiyo mbingu???Use brain ili uelewe mkuu.
Asante...Kwani imani na dini ziko tofauti.Dini haiwezi kukupeleka mbinguni bali Imani yako ndio itakayokuokoa.
Sijawahi kupaona mbinguni.Mkuu ushawahi kupaona mbinguni,?? Kuna proof yeyote kuhusu hiyo mbingu???
Aisee...Wako kuzimu wanakula faya mpaka dakika hii....
OK mkuu inaonekana umelewa maandiko ,. Time will tellSijawahi kupaona mbinguni.
Proof ni vitabu vya dini mkuu.
Asante mkuu.Wale waliokua hawamjui Mungu bado,lakini waliishi kadri ya amri zake wataokolewa!
hahahaha.Wako kuzimu wanakula faya mpaka dakika hii....
OK mkuu inaonekana umelewa maandiko ,. Time will tell