kuchangumu
JF-Expert Member
- Apr 2, 2014
- 724
- 290
we si ndo liteja langu......tunajuana mbona,we elezea tu hukuwa na sababu ya kuzuga hapa.Kapovu ka nini sasa au nimekugusa moja kwa moja hahaha pole toa tu uzoefu kama nimzoefu usione aibu
Ndo nyie msiotizamika JF....mchana mwema
hii topic inaweza vuruga aman ya nchi
Ukishamjua utapata faida gani. Au ndio unasogeza muda ili matokeo ya Form 2 kwenda F3 yatoke ili urudi tena shule.1.Anaefanya mapezi kwa vile ana enjoy kufanya mapenzi 2.anaefanya mapenzi ili apate kitu fulani toka kwa anaefanya nae mapenzi 3.anaefanya mapenzi ili apate umaarufu kwa watu 4anaefanya mapenzi kwa kuwaonea huruma wanaomtamani.... 5.anayetoka nje ya ndoa kwa kisingizio cha kutokuridhika 6. 7. 8. Tusaidiane jamani tumjue mwanamke malaya
Ukishamjua utapata faida gani. Au ndio unasogeza muda ili matokeo ya Form 2 kwenda F3 yatoke ili urudi tena shule.
1. Anaefanya mapezi kwa vile ana enjoy kufanya mapenzi
2. Anaefanya mapenzi ili apate kitu fulani toka kwa anaefanya nae mapenzi
3. Anaefanya mapenzi ili apate umaarufu kwa watu
4. Anaefanya mapenzi kwa kuwaonea huruma wanaomtamani
5. Anayetoka nje ya ndoa kwa kisingizio cha kutokuridhika
6.
7.
8.
Tusaidiane jamani tumjue mwanamke malaya