Nilufer
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 9,567
- 13,542
Jamani!! Hivi itakuaje? Mimi, Hua najiuliza sana nashindwa kupata jibu, hivi mwaka 2020 Lowassa atakuja na gia gani? Maana kwenye harambee mbali mbali simuoni, neno ufisadi hawezi kutamka, maana ndiyo unaoushughulikia Magufuli, kwa nguvu zote.
Isitoshe kaharufu ka ufisadi bado kana mng'ang'ania! Kila mtu akikumbuka Richimond eehe walewale, ijapokua sabuni nyingi zimetumika kumsafisha, bado kang'ang'aniwa tu eebwana. Sasa, Hutu tu harambee mbona sasa hashiriki kama zamani? Mwenzenu sipati jibu jamani!!.
Mmmh!!
Ni kweli jimbo la Mbeya mjini nalitaka, hilo nitalichuku mapemaaa. Lakini si kwa kushindana na Mh: Lowassa, hayo kwangu ni maji ya ziwa Tanganyika si unajua ziwa Tanganyika lina kina kirefu?. Lakini huyu Lowassa atakua na gia gani?
Maana JPM amejaa kila idara! Ukiuliza mshahara wake, mtu wa wala hataki kujilimbizia Mali kamshara kiduchu milioni Tisa tu, sasa huyu Lowassa atafiti wapi? Nipeni jibu tafadhali.