Hivi mtu mweusi sio early version ya binadamu?

Ni kweli hata maandiko yanadhihirisha mtu mweusi ana tatizo la asili na ukichunguza utagundua tumeumbwa kuwa watumwa wa hawa wenzetu na ndio maana hata hizi rasilimali zetu tunazimililikisha kwa watu weupe sisi wenyewe ili waendelee kututawala.

Utagundua pia hata elimu ya darasani tuliopata bado haifua dafu dhidi ya tatizo hili la asili (laana kama ulivyoeleza ).
 
Acha kulishwa mimatango mkuu watu weusi ndo walikuwa wa kwanza kutawala wazungu ,hesabu zilianzia egypty na China sio Egypt ya waaarabu hapana weusi,farao yeyote hakuwahi kuwa mweupe Tena hata yesu hakuwa mzungu Kama unavyofundishwa ,hakuwa muafrika ila alikuwa anauonekno Kama wahindi ila alikuwa mweusi,jiulize miaka hiyo mzungu alifikaje middle East east hata mkwawa wanatamani wangesema mzungu,inbox me nkupige shule
 
Ni kweli hata ukichunguza utagundua tumeumbwa kuwa watumwa wa hawa wenzetu
Hili la utumwa ni kweli, mpaka leo dada zetu ndio wanaoongoza kwa kukolea katika zile huduma!.

Hata hapa juzi kati, kuna jamaa alijifanya mbabe, akazuia mzigo wa watu pale bandarini kuwa hakitoki kitu mpaka watulipe walicho tuibia!. Akashuka mzungu na private jet yake, akatinga patakatifu petu, akatuahidi kishika uchumba fulani, watu tukalainika meno 32 nje!, tukaachia kila kitu, na hakuna sentano kipande tuliolipwa! huu kama sio utumwa ni nini?, hii ni laana!.
P
 
Mkuu, nimcheka sana japo hapa niko peke yangu mahala fulani.

We jamaa sometimes ni shida!
 
Kumbuka ya Michael Jackson ya kutaka kujibadilisha afanane na wazungu.
Hapo Salary Slip nakukatalia. Michael aliugua ugonjwa wa kupoteza rangi wahaya wanaita Irongo. Alianza kupata mabaka mabaka kuanzia usoni mpaka mwili mzima. Nywele hizo alipoungua wakati anaperform ilibidi afanye mbinu za kuficha. Ila alikuwa anapaka madawa kusudi asionekane mabaka.
Ilikuwa kwenye documentary yake last month kwenye channel moja za huku nilipo wakati baba yake amefariki.
Kuhusu mada iliyotolewa, nakubaliana 100% point zote alizozitoa.
Kadili binadamu alivyokuwa anaelekea north ndivyo evolution ilikuwa inafanyika. IQ iliongezeka labda kutokana na mazingira. Shida za baridi, ukame na njaa viliwafanya wawe creative. Sisi tumekalia kupanda, kuvuna na kula. Creativity 0.
 
Hilo la kijiografia hata mimi nimewahi kuliwaza na inawezekana "Nature" ilitambua hili mapema na kuona bara hili lisilo na changamoto nyingi za kijiogafia na kimazingira lingeendana na uwezo wa mtu mweusi na ndio sababu tukawa positioned hapa Africa.
Hv mnafikri watu weupe wametokeaje ni mazingira tuu hata wewe tukikuchukua na mwanamke mweusi tena vizazi vyenu visichanganye in 10k year wajukuu zako watakuwa wazungu
 
Ila umesahau tunae jiwe....

Huyu ndio mkombozi wa watu weusi including us Tanzania [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Ila umesahau tunae jiwe....

Huyu ndio mkombozi wa watu weusi including us Tanzania [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Subiri mtakapoanza kuzaliana kwa amri ya Pombe, mkaanza kulala chumba kimoja watu kumi, na wale wenye wake watano kama Marehemu Masaburi wakawa hamsini ndo mtamsifia zaidi. Time will tell. Kumbuka kila alilolisema Hitler wakati wa utawala wake, kilitekelezwa bila kuuliza. Ina maana akisema kuanzia sasa kila mpinzani apelekwe concentration camp, wengi wataozea huko.
 
Why God! Why, do I have another god apart from you who created the so called people of the first world! Why God, why. God my feature is bleak as dark as my colour, and bad enough the people I am led to call chaguo la mungu are not the ones you created as they don't want to see me near them, to them I am enemy number one, they only showed love when they wanted my vote after getting it they abandoned me, why God, why! Am I part of the people you created or there is another god who created me, why God why; no answer.
 
Kiukweli everything was perfect until the two books came and got into our nerves. From there we lost everything.Africa turudi kwenye spirit zetu za asili uwezo wa kutambua na ku master mazingira as per our perspective,sio kwa akili za kushikiwa. that’s where our “chi” is. Go where u lost your balls, grab them before u man up

Wachache watanielewa,,,,
 

Unamaana dini ndio imetufikisha hapa[emoji848]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…