Full Blood Picture
JF-Expert Member
- Jan 7, 2021
- 4,470
- 9,570
hivi serikali ilipima viwanja huko?Msumi ni Kilometer chache sana kutoka stendi ya mabasi ya Magufuli.
Sasa cha ajabu ni kwamba Msumi ipo kama vile hata wakuu wa Mikoa waliopita hapo Dar na wasasa si ajabu hawajui iko upande gani wa mji, achilia mbali DC.
Mbunge wa Ubungo (labda atapeleka pua) kwa ajili ya kampeni, Sina hakika na Mkurugenzi na blah blah wengine, kutoa umeme.
Kma si ushirikina wa Wamakonde ni nini?
- Msumi hakuna barabara.
- Msumi hakuna zahanati zingatia ni eneo lenye kaya zaidi ya laki moja, Ref.Google Map.
- Msumi hakuna kituo cha Polisi
- Msumi hakuna maji ya bomba lakini kuna ofisi za CCM kila baada ya kilometer chache.
Msumi hakuna madaraja baada ya kuzolewa na mvua, zingatia madaraja yote yalijengwa kwa nguvu za wananchi.
Tukisema Msumi hakuna Zimamoto tutakuwa tumeungana na washirikina manake mji mzima zimamoto ni moja tu pale faya kwa ajili ya Kariakoo na Muhimbili, hili hakuna kiongozi mwenye uwezo wa kulizungumzia manake akili zao ziko kunako matumbo yao.
Haya tuendelee Msumi Shule ya Msingi ni moja na haitoshi zingatia idadi ya kaya, nilisikitika mvua inanyesha wamesongana kibarazani kisa wanasomeaga chini ya mti.
Kuna majengo ya madarasa yapo upande wa kulia kama unaelekea msumi maeneo ya uwanjani sijui ni ya sekondari au ya msingi wenyeji mtatujuza.
Msumi hakuna kituo cha daladala ingawa daladala zipo kwa uchache zingatia hakuna barabara ndio kisa na wenye mabasi hawaitaki njia hiyo na abiria ni wengi sana sana kaya laki moja, mara waseme darajani mara waseme center lakini kote ni ushirikina tu.
Msumi hakuna miundo mbinu ya kukusanya taka.i.e Dampo kwa sasa hawataona athari.
Ngoja kidogo, kaya laki moja na kila siku watu wanazidi kuhamia, watu wa msumi hebu wekeni kero zenu hapa manake hampo jijini wala mamkoa.
Msumi Chui ametoroka msituni anaonekana mtaani, zingatia Msitu ameshapewa mwekezaji.
Humu shida vijana wanadangajika na I’d feki😁😁😁😁Halaf unakuta akina Intelligent businessman wanapata guts za kukutongoza wakat mtu ulishaanza kupambana na kodi toka mwaka 2001!! We intell wewe achaga utukutu wako mdogo angu 😂. Ww 2001 bado unatumia vibagadu kujifunza kutembea dede maana hakuna baby walker enz hizo.
Nenda siku katembee ujionee ajabu la Tanzania 😁😁😁Kupojee kwani?
Ahahahahaha ofcz ni katika harakat za ku socialize tu nafikir wanakua hawako serious 😁Humu shida vijana wanadangajika na I’d feki😁😁😁😁
Kma si ushirikina wa Wamakonde ni nini?
- Msumi hakuna barabara.
- Msumi hakuna zahanati zingatia ni eneo lenye kaya zaidi ya laki moja, Ref.Google Map.
- Msumi hakuna kituo cha Polisi
- Msumi hakuna maji ya bomba lakini kuna ofisi za CCM kila baada ya kilometer chache.
Msumi hakuna madaraja baada ya kuzolewa na mvua, zingatia madaraja yote yalijengwa kwa nguvu za wananchi.
Kuna masaki pia njia hiyo 😁😁Haka huko mkuranga kuna mbezi 😂😂😂
Hii sahau mzee, bado sana hata kwny huo mradi haipo!!Braba
Ya Mpigi magohe itajengwa pia kwenye huo mradi ?!
Huko ni uswakeniHuko watu wanajenga kibabe
Usipoonekana eneo lako wiki
Ukirudi unakuta washakujengea
Mbele yako 😄
Ova
Ni uchawi sanaUkisikia ushirikina ndio huo
Na watu wenyewe ndiyo wanafanya maeneo yawe uswekeniHuko ni uswakeni
Tangu 2020 viongozi wote msumi ni CCMWapinzani wametuchelewesha sana!
Hovyo sanaa hawa watu, wangejua tuna teseka na magari mabovu yale kiasi gani aiseeHii sahau mzee, bado sana hata kwny huo mradi haipo!!
Tunaomba hiyo link tuone kama tumekumbukwa au niaje.Kuna mradi wq DMDP phase two watajenga barabara ya msumi kilometa 9.08 . Ujenzi unaanza mwezi wa saba. Kipindi wanatangaza zabuni ili mkandarasi apatikane. Tembelea page ya mkuu wa mkoa you tube autakuta kafafanua barabara ambazo zitapitiwa lami
Itakuwa umekosea mwaka mkuu🤣Niliwahi kupanga huko mwanzo mwa 2001 niliacha kodi sehemu ni ya ajabu sijapata kuona alaaniwe yule dadali mwongo🤨
Sijakosea mkuuItakuwa umekosea mwaka mkuu🤣
Nuzulati bwana🤣🤣Sijakosea mkuu
Ni huzuni, hakuna anayejali.Hovyo sanaa hawa watu, wangejua tuna teseka na magari mabovu yale kiasi gani aisee
Nchi ya hovyo sana hii, eti Dar es salaam hii **** maeneo ni vumbi tupu na yana watu wengi ni aibu ndani ya jiji kubwa kama hili kuwa na sehemu kama mpigi magohe au msumi hakuna lami kabisa achia wingi wa watu maeneo hayo dah!