Hivi mshkaji/ kaka/ mkuu sana akionaga hii Picha huwa anajisikiaje?

mbere

JF-Expert Member
Mar 5, 2015
6,967
6,465
1.jpg
 
Uncle Magu hana Mtoto mkubwa ili waja wapitie njia alizopitia Rais wa Dar?
 
Ajikwezaye atashushwa, ajishushaye atakwezwa, Neno la Mungu latuonya unyenyekevu tujivike, hili ni tunda mojawapo la Roho Mtakatifu. kuwa mnyenyekevu.

Mika 6:6-8, Nimkaribie Bwana na kitu gani, na kuinama mbele za Mungu aliye juu? Je! Nimkaribie na sadaka za kuteketezwa, na ndama za umri wa mwaka mmoja? Je Bwana atapendezwa na elfu za kondoo waume, au na elfu kumi za mito ya mafuta? Je ni mtolee mzaliwa wangu wa kwanza kwa kosa langu, mzao wa mwili wangu kwa dhambi ya roho yangu? Ee mwanadamu, yeye amekuonyesha yaliyo mema; na Bwana anataka nini kwako? Ila kutenda haki, na kupenda rehema, na kwenda kwa unyenyekevu na Mungu wako.

Yakobo 4:6-10, 1Petro 5:5, Mungu huwapinga wenye kiburi lakini huwapa wanyenyekevu neema. Jidhilini mbele za Mungu naye atawakuza.

Yakobo 4:6, Mungu huwapinga wajikuzao, bali huwapa neema wanyenyekevu. Basi, mtiini Mungu. Mpingeni shetani naye atawakimbia. Mkaribieni Mungu, naye atawakaribia ninyi. Itakaseni mikono yenu enyi wenye dhambi, na kuisafisha mioyo yenu, enyi wenye nia mbili. Huzunikeni na kuomboleza na kulia. Kucheka kwenu na kugeuzwe kuwa kuomboleza, na furaha yenu kuwa hamu. Jidhilini mbele za Bwana naye atawakuza.

Zaburi 18:27, God rescues the humble and puts down those who are proud. Mungu huwaokoa watu wanaoonewa, na macho ya kiburi atayadhili.

Zaburi 138:6, Ingawa Bwana yuko juu, amwona mnyeyekevu, naye amjua mwenye kujivuna tokea mbali. Though you are above us all, you care for humble people, and you keep a close watch on everyone who is proud. Our God cares for humble people.

Zaburi 149:4, Kwakuwa Bwana awaridhia watu wake, huwapamba wenye upole kwa wokovu. The Lord is please with his people, and he gives victory to those who are humble.

Mithali 3:34, Mungu huwadharau wale wanaomdharau yeye, bali huwapa wale wanaoonyesha unyenyekevu na heshima kwake neema. The Lord sneers at those who sneer at him, but he is kind to everyone who is humble.

Mithali 11:2, Kijapo kiburi ndipo ijapo aibu, bali hekima hukaa na wanyenyekevu. Pride can put you to shame, it is wiser to be humble.

Mithali 15:33, Kumcha Bwana ni maonyo ya hekima, na kabla ya heshima, hutangulia unyenyekevu. Showing respect to the Lord will make you wise, and being humble will bring honour to you.

Isaya 57:15, maana yeye aliye juu aliyetukuka, akaaye milele, ambaye jina lake ni mtakatifu asema hivi, nakaa mimi mahali palipoinuka, palipo patakatifu, tena pamoja na yeye aliye na roho iliyotubu na kunyenyekea, ili kuzifufua roho za wanyenyekevu, na kuifufua mioyo yao waliotubu. Our Holy God lives forever in the highest heavens, and this is what he says; though I live High above in the Holy place, I am here to help those who are humble and depend only on me. If you depend only on God, God will help you. Do not depend on other things other than God.

Isaya 66:2, Maana mkono wangu ndio uliofanya hivi vyote, vitu hivi vyote vikapata kutokea, asema Bwana; lakini mtu huyu ndiye nitakayemwangalia, mtu aliye mnyonge, mwenye roho iliyopondeka, atetemekaye asikiapo neno langu. The people I treasure most are humble, they depend only on me and tremble when I speak.those who are humble and obey his voice/word. May God bless you. Amin.
 
Sii kiivyo mkuu
 
Gwwjima ktk speech yake alisema kikwete anamtafuta kupitia makonda kwa kuwa alikuwa anakosea utawala wake
 
Alijishusha akakwezwa then akajikweza ajiandae kuporomoshwa mpaka kwenye korongo
 
Sii kiivyo mkuu
mark my words mkuu. ukiona mtu yeyote ana kiburi cha wazi, ana jeuri, ana dharau, hata wakubwa zake, ujue huyo mtu hatumiwi na Mungu na siku yake ya kuporomoka inakuja haraka sana na atakayemporomosha sio mwanadamu, ni Mungu mwenyewe. katika vitu vyote mfalme suleiman aliomba baada ya kupata cheo ilikuwa ni HEKIMA. ukikosa hekima utagusa hata pasipotakiwa kuguswa na hautajua umedondoka lini, utajikuta tu upo chini.
 
Ni kweli kabisa mkuu
 
Kikwetu kwetu mapungu tu ndo hukimbia kwao na kwenda kuishi kwa tajiri ama mtu mwenye uwezo na kisha kumfurahisha kibosire kwa kuwafungia vishikizo wanae.
"Ng'wisugi/ng'wifugi o konda"
 
Back
Top Bottom