Simplicity.
JF-Expert Member
- Dec 19, 2013
- 2,636
- 1,664
Daaaah kauli imenifanya kuwaza hapaMshikaji alikuwaga na viuno acha kabisa.
Mmhmuache Bana kajichokea sana
Hakua na uchawi wowote...viuno vyake ndo vilidatisha wadada. Kila mmoja alitaka apate LIVELabda mganga wake alifariki huwezi jua, km kuna wanaume wanatumia dawa kuwateka wanawake basi ni wachache sana kwa sasa, maana kutokana na wingi wa wanawake wala huhitaji dawa za kishirikina kuwateka, uchawi uliyobaki sasahivi ni wa mjapani tu(kuwa na gari na hela utaona maajabu)
Duuuh! basi mimi sikuwa najua hayo, vp na ww ulidatishwa na mauno yake pia? maana aisifiaye mvua uje imemnyeeshea.Hakua na uchawi wowote...viuno vyake ndo vilidatisha wadada. Kila mmoja alitaka apate LIVE
Kaisha kimzikiiiii......au kaishaishaje yaani, ina maana hata hizo shoo za kawaida hawezi kuzipiga ili aweze kujikwamua kimaisha??jamaa kaisha balaa,nlimkuta rombo pub ijulikNayo kama empire,hadi huruma
Hao wenye uchawi wao mbona hawatusui kwenye mziki kimataifa??.. Au huo uchawi una mipakaHuu Uchawi wa comoro huko na madascar au visiwa vya ngazija,ukikukubali unakupeleka juuu sana halafu unatakiwa uwe mtu wa kuchaji kila wakati ukizubaa tu unaporomoka kama kidaka,Mfano ndio huyo hapo.
Hahahaaaa mkuu Kakole me sikudatishwa na mauno yake ila nlikuwa napenda nyimbo zake tuDuuuh! basi mimi sikuwa najua hayo, vp na ww ulidatishwa na mauno yake pia? maana aisifiaye mvua uje imemnyeeshea.
Ahsante-- huu ndo ukweli wenyewe! Mr. Nice ilikuwa ni full ulimbukeni; mwenye pesa ni yeye, mjuzi wa starehe mjini ni yeye hadi alikuwa anaboa na ndo maana watu kama akina Dudu walikuwa wanaishia kumtandika!Nilikutana naye msumbiji,nikawa mwenyeji wake,yaliyonikuta sitakuja sahau,nilichogundua huyu jamaa nidhamu ndiyo iliyomponza,ni kama limbukeni wa maisha vile,anapenda starehe na kutumia pesa bila mpangilio