Halotel ni habari nyingine
Mimi nipo kijiji kabisa huku inasoma H+ naangalia mechi live bila kugomagoma
Nikiweka nyingine zinasoma E
Sasa sujui utaanza kuilaumu halotel laumu kijisim chako cha mchina
Wakati halotel inaanzaa,internet yao ilikuwa na speed kama kimondo,ila tangu user wawe wengi,naonaa kichwa kimekuwa kikubwaa,yaani speed kama jongoo,sasa ni ushamba au nini!???