Wakati halotel inaanzaa,internet yao ilikuwa na speed kama kimondo,ila tangu user wawe wengi,naonaa kichwa kimekuwa kikubwaa,yaani speed kama jongoo,sasa ni ushamba au nini!???
Wakati halotel inaanzaa,internet yao ilikuwa na speed kama kimondo,ila tangu user wawe wengi,naonaa kichwa kimekuwa kikubwaa,yaani speed kama jongoo,sasa ni ushamba au nini!???
Internet ya halotel huwezilinganisha na mtandao mingine wowote kwa sababu halotel wanatumia fiber moja kwa moja tofauti na wengine wao wanatumia minara
Mimi nilikua nimmoja wa wapigachepuo wao lakini kwasasa wanakera sana ile speed waliyo kuwanayo haipo tena hauwezi kuangalia tena move online kiujumla nawenyewe wamekua wezi wanatuuzia bandle ambazo mwisho wasiku hatuwezi kuzitumia kama vp nawenyewe wang'oe minara yao kama zantel wasepe
Kama ni hii hii ninayotumia mimi basi tatizo ni visimu vyenu mnavyotumia.
Hapa nilipo kwasasa inasoma 2G ila nimesha pakua Video 12 zenye ukubwa wa kuanzia 10mb kwa dakika tano. Ila wangekuwa wale wengine ndio kwanza ingegoma hata ku-Loading.