Hivi mnajua CHADEMA wamepata hati gani?

Hivi mnajua CHADEMA wamepata hati gani?

Beatrice Kamugisha

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2019
Posts
761
Reaction score
6,985
Hadi report ya CAG inatoka tayari Chadema walishajua wamepata hati gani lakini wamekaa kimya, ikisemwa Bungeni wanakuja kulalamika sijui tunaonewa sijui Nini?

Tuelezeni wananchi mlivyomalizana na CAG kabla huko Bungeni awajaanza kuwapopoa mkakosa wakuwasemea. Kumbukeni hii report uwa inaingizwa bungeni nakujadiliwa japo kibongobongo spika anaweza itia kapuni akiona haipi yeye na chama chake agenda zakujimwambafai. Nakumbukeni mna Mbunge mmoja tu bungeni,, tuambieni mmepata hati gani?
 
Sasa chadema nayo imekaguliwa?
Kama hamna ruzuku mkaguzi wa kazi gani?
 
Umesema sawa
Umefanya vyema kuiweka hii taarifa
Mama ataipitia ataifanyia kazi

Atafanya haya kama Katiba Itamruhusu

Vunja Bunge la Jamhuri
Vunja Baraza la Mawaziri
Kesi za uchaguzi ziendeshwe basi tutafika tunakoenda kwani tulikotoka ni mbali
 
Mbowe hata mazishi hakwenda aliogopa kukamatwa na TAkukuru anaishi kwa kujificha anakolala hakujulikani
 
Hadi report ya CAG inatoka tayari Chadema walishajua wamepata hati gani lakini wamekaa kimya, ikisemwa Bungeni wanakuja kulalamika sijui tunaonewa sijui Nini?

Tuelezeni wananchi mlivyomalizana na CAG kabla huko Bungeni awajaanza kuwapopoa mkakosa wakuwasemea. Kumbukeni hii report uwa inaingizwa bungeni nakujadiliwa japo kibongobongo spika anaweza itia kapuni akiona haipi yeye na chama chake agenda zakujimwambafai. Nakumbukeni mna Mbunge mmoja tu bungeni,, tuambieni mmepata hati gani?
Walikusifu uzi wa msafara, wanakuponda ulivyoiongelea Chadema..
We mhaya achana na wachaga ni wana roho mbaya hawa
 
Chadema kwani ipo si tunaambiwa magufuli kaua upinzani mwisho kaishia kufa yeye?
 
Hadi report ya CAG inatoka tayari Chadema walishajua wamepata hati gani lakini wamekaa kimya, ikisemwa Bungeni wanakuja kulalamika sijui tunaonewa sijui Nini?

Tuelezeni wananchi mlivyomalizana na CAG kabla huko Bungeni awajaanza kuwapopoa mkakosa wakuwasemea. Kumbukeni hii report uwa inaingizwa bungeni nakujadiliwa japo kibongobongo spika anaweza itia kapuni akiona haipi yeye na chama chake agenda zakujimwambafai. Nakumbukeni mna Mbunge mmoja tu bungeni,, tuambieni mmepata hati gani?
Hekima na busara kwa nini tumenyimwa sana au ni malezi ya viongozi wetu ndo yanatufikisha hapa, tuache kuchochea mabaya kwa manufaa binafsi.
 
ExjsirJWUAAOCim.jpeg

Tujadili vitu vilivyopo kwanza. Hayo ya Chadema hatuyajui bado hata wewe huyajui.
 
Hadi report ya CAG inatoka tayari Chadema walishajua wamepata hati gani lakini wamekaa kimya, ikisemwa Bungeni wanakuja kulalamika sijui tunaonewa sijui Nini?

Tuelezeni wananchi mlivyomalizana na CAG kabla huko Bungeni awajaanza kuwapopoa mkakosa wakuwasemea. Kumbukeni hii report uwa inaingizwa bungeni nakujadiliwa japo kibongobongo spika anaweza itia kapuni akiona haipi yeye na chama chake agenda zakujimwambafai. Nakumbukeni mna Mbunge mmoja tu bungeni,, tuambieni mmepata hati gani?
Mimi siyo mwanachama wa Chadema! Ila sijaona logic kuja na mada inayo iongelea Chadema tu na wakati vyama vya siasa na vyenye sifa ya kukaguliwa na CAG ni vingi!

Kwa nini wewe ujielekeze kwa Chadema tu? Na siyo ccm, Act Wazalendo, CUF, au uulize kuhusu hati za vyama vyote? Unakipenda sana hicho chama?

Au na wewe huna tofauti na wale Mataga wengine kama Elitwege, Wakudadavuwa , Bia yetu , kipara kipya, na johnthebaptist ! Ambao muda wote huiwaza Chadema tu!!
 
Back
Top Bottom