Habarini ndugu zangu?
Naomba ufafanuzi juu ya huu mtandao wa vodacom kwangu hawajama wamekuwa kero kabisa! Naona huyu mmuliki wa mtandao huu anatakatuwe masikini na yawezekana hajui maisha ya watanzania au ametajirika sana anatakakupunguza idadi ya wateja. Sababu za kusema hivyo: moja vifurushi vyao gharama sana, pili huduma kwa wateja zinasumbua, la tatu ambalo ndiyo kiini cha yote ni kuongezwa kwa makato ya kutoa pesa kwenye simu kuongezeka kila mara bila hata taarifa. Labda wao wanalipa kodi tofauti na mitandao mingine? Jambo hili naona imesha kuwa kero.