Hivi michepuko wote mko hivi?

Wewe uliandika hhivi hapo chini.... ukimaanisha kutoa mimba... kwamba ukautoe uhai wa binadamu. Kwa kifupi mauaji.

Nmemwambia atowe tu maana naona ndio tiketi ya kunisumbua

Mi nikashangaa sana. mambo hayo hufanywa na ziraili au shetani muuaji. Nikakuuliza kiroho safi tu...

Wewe ni shetani??

Badala ya kujibu ukaamua unibatize hivi
Wewe lucifer


Sasa hapa ngoja tumwachie Mungu aamue nani ni shetani na nani ni lucifer au ni nani anafaa kupewa majina yote mawili.

Uenende na laana katika mauaji yako.
 
naiona ndoa yako ikifa siku si nyingi unless ufanye kitu juu ya hili kwani ni lazima kuchepuka?unatafuta nini maku ni ile ile tu
 
Hivi kwa nn watu wanaishi kwa kutunga tunga mambo ya kipuuzi na kutuletea huku, wakati mwingine tunasoma kwa dhati ujumbe wa mtu kwa lengo la kutoa msaada wa mawazo pale tunapoweza lakini kwa habari kama hizi hakika mnafanya hata wanohitaji ushauri wa kweli kujibiwa porojo na kebehi. Huwezi ukawa umeoa mwezi mmoja uliopita na bado unamchepuka at the same time tena mchepuko ana mimba wakati ww unaoa . ebu acha upuuzi
 
Subria kurogwa sasaa!uwe zezeta lake.
 
KAMEPATA MIMBA MWEZI ULIOFUNGA NDOA! Ahaaa...basi,nilikuwa sioni vizuri.
 
Ushauri gani ...ndani ya mwezi tu umeshachepuka ngoja akukomeshe na ukizingua anakuloga
 
ha ha ha babu mbona unamfokea bada ya kumsaidia
 
uyo mchepuko anavyokufanyia sawa sawa yaan kama n mm mimba sitoi ndoa haina ata miezi na mimba juu hiyo dhambi lazma ikutafune
 
Haukuna haja ya kulalamika kama ni kweli kaa ujue ndoa yako iko njiani kuvunjika.
 
Uyu jamaa noma! Mchepuko adi mimba acha ukusomeshe namba
 
usituletee mada zako za kutunga hapa,mpeleke huyo mchepuko kwa mkeo akapumzike
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…