HaMachiach
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 3,450
- 6,211
Wewe??? nakuuliza wewe umeoa??Habari wanabodi nmekuja kuomba ushauri nmeoa mwezi uliopita sasa kunakamchepuko kangu kamenasa mimba mwezi niliofunga ndoa sasa kananisumbua balaa kilamda kanataka niwe nako afu wameungana na dada yake yaani anataka nimthamini kuliko mke wa ndani nikiwa kazini anatuma text njoo nyumban la sivyo natoa mimba yaani amekuwa kero kwakweli dada yake anamsapot sana nmechoka juzi nilimwambia nasafiri kikazi nje ya mkoa akataka niende nae nikagoma akaanza kusema yeye basi anatafuta mtu mwingine maana ana genye nikasema tafuta tu misitaki mahusiano ya kimapenzi nawewe akaanza basi mimi natoa mimba siwezi lea kiumbe asiye nafaida kwakweli mchepuko huu ni taabu tu
Achana nae unafikiria alikuwa wako peke yako anakuchanganya uharibu hayo amunganisho yakoHabari wanabodi nmekuja kuomba ushauri nmeoa mwezi uliopita sasa kunakamchepuko kangu kamenasa mimba mwezi niliofunga ndoa sasa kananisumbua balaa kilamda kanataka niwe nako afu wameungana na dada yake yaani anataka nimthamini kuliko mke wa ndani nikiwa kazini anatuma text njoo nyumban la sivyo natoa mimba yaani amekuwa kero kwakweli dada yake anamsapot sana nmechoka juzi nilimwambia nasafiri kikazi nje ya mkoa akataka niende nae nikagoma akaanza kusema yeye basi anatafuta mtu mwingine maana ana genye nikasema tafuta tu misitaki mahusiano ya kimapenzi nawewe akaanza basi mimi natoa mimba siwezi lea kiumbe asiye nafaida kwakweli mchepuko huu ni taabu tu
Na we we..si umwache atoe kwani sh ngapi akaaHabari wanabodi nmekuja kuomba ushauri nmeoa mwezi uliopita sasa kunakamchepuko kangu kamenasa mimba mwezi niliofunga ndoa sasa kananisumbua balaa kilamda kanataka niwe nako afu wameungana na dada yake yaani anataka nimthamini kuliko mke wa ndani nikiwa kazini anatuma text njoo nyumban la sivyo natoa mimba yaani amekuwa kero kwakweli dada yake anamsapot sana nmechoka juzi nilimwambia nasafiri kikazi nje ya mkoa akataka niende nae nikagoma akaanza kusema yeye basi anatafuta mtu mwingine maana ana genye nikasema tafuta tu misitaki mahusiano ya kimapenzi nawewe akaanza basi mimi natoa mimba siwezi lea kiumbe asiye nafaida kwakweli mchepuko huu ni taabu tu
Nmemwambia atowe tu maana naona ndio tiketi ya kunisumbuaMkuu pole na hao viumbe. Nakushauri achana naye mapema atakuja kukusumbua mbeleni, lkn kubwa zaidi ukizid kuwa karibu naye anaweza mpoteza mkeo ili abaki na uhuru wa 100%.
Hahahaaaa ameozwa nimecheka sana, kweli kabisa kwa mwezi mmoja amezidi. Ndio maana nilishajiambia nitakuja kuoa siku nikipenda kweli kiasi kwamba hizi story za michepuko iwe kila nikipata kishawishi nikimkumbuka wife home mzuka unakata nanyosha goti nyumbani.Wewe??? nakuuliza wewe umeoa??
Unajua maana ya kuoa???
Kama unajua maana ya kuoa, sidhani kama utakuwa umeoa.
Yani wenzako waliooa mwezi uliopita hivi sasa wako honeymoon we uko hapa unatuletea habari za michepuko...
Mi nadhani hujaoa bali umeozeshwa.
Habari wanabodi,
Nimekuja kuomba ushauri. Nimeoa mwezi uliopita sasa kuna kamchepuko kangu kamenasa mimba mwezi niliofunga ndoa, sasa kananisumbua balaa kila muda kanataka niwe nako halafu wameungana na dada yake yaani anataka nimthamini kuliko mke wa ndani.
Nikiwa kazini anatuma text njoo nyumbani la sivyo natoa mimba, yaani amekuwa kero kwakweli. Dada yake anamsapoti sana nimechoka.
Juzi nilimwambia nasafiri kikazi nje ya mkoa akataka niende nae nikagoma akaanza kusema yeye basi anatafuta mtu mwingine maana ana genye, nikasema tafuta tu mimi sitaki mahusiano ya kimapenzi na wewe..., akaanza basi mimi natoa mimba siwezi lea kiumbe asiye na faida.
Kwa kweli mchepuko huu ni taabu tu.
Wewe ni shetani??Nmemwambia atowe tu maana naona ndio tiketi ya kunisumbua
Upumbavu mwingine mnautafuta wenyewe, we kama umeoa kwann usitulie kwa mkeo na kama umeona umeshindwa umekwenda kwa mchepuko kwanini umpe mimba? Kama vp mwambie atoe baki na mkeo, au kubali kuendeshwa vivyo hivyo, si umeyatakaHabari wanabodi,
Nimekuja kuomba ushauri. Nimeoa mwezi uliopita sasa kuna kamchepuko kangu kamenasa mimba mwezi niliofunga ndoa, sasa kananisumbua balaa kila muda kanataka niwe nako halafu wameungana na dada yake yaani anataka nimthamini kuliko mke wa ndani.
Nikiwa kazini anatuma text njoo nyumbani la sivyo natoa mimba, yaani amekuwa kero kwakweli. Dada yake anamsapoti sana nimechoka.
Juzi nilimwambia nasafiri kikazi nje ya mkoa akataka niende nae nikagoma akaanza kusema yeye basi anatafuta mtu mwingine maana ana genye, nikasema tafuta tu mimi sitaki mahusiano ya kimapenzi na wewe..., akaanza basi mimi natoa mimba siwezi lea kiumbe asiye na faida.
Kwa kweli mchepuko huu ni taabu tu.
Wewe luciferWewe ni shetani??
Nilichepuka before ndoaHahaha...naweee...ndoa mwezi tu unachepuka