Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 142,917
- 288,028
Ni mwanachama wa chama cha HAPA NA PALEHili ni lazima liwekwe wazi ili umma ufahamu ukweli
zipo taarifa kwamba alikwisha timuliwa kwenye chama cha ADC , vyombo vya habari mbalimbali viliripoti na kila mmojawetu ni shahidi ( SAID MIRAJI UNAWEZA KUJA KUFAFANUA HILI ) , kwenye uchaguzi wa marudio ule uliokataliwa na wananchi na pamoja na dunia nzima mh huyu aligombea urais wa zanzibar kwa kulindwa na Mtukufu Salim jecha maana tayari alikwishatimuliwa na chama chake.
sasa utata wangu ni kule kuteuliwa kwake kuwa waziri kwenye serikali ya zanzibar ( sina ugomvi na uteuzi wake ) , lakini je ameteuliwa kama raia yeyote wa kijiweni mwenye sifa ya uzanzibar tu ama ameteuliwa kama mpinzani anayetokea chama cha ADC ?
Hili ni lazima lijibiwe ili tuujue ukweli na ili tuweke utaratibu wa kuheshimu maamuzi yanayotolewa na vyama vya siasa dhidi ya wanachama wakorofi wanaopuuza katiba za vyama vyao .
hili lazima wajuzi waje waliweke sawa , HAMAD RASHID hawezi kuhudhuria kikao chochote cha ADC , sasa huyu uanachama wake ukoje ?Ni mwanachama wa chama cha HAPA NA PALE
Inawezekana kuwa katiba ya Zanzibar inaruhusu wagombea binafsiHili ni lazima liwekwe wazi ili umma ufahamu ukweli
zipo taarifa kwamba alikwisha timuliwa kwenye chama cha ADC , vyombo vya habari mbalimbali viliripoti na kila mmojawetu ni shahidi ( SAID MIRAJI UNAWEZA KUJA KUFAFANUA HILI ) , kwenye uchaguzi wa marudio ule uliokataliwa na wananchi na pamoja na dunia nzima mh huyu aligombea urais wa zanzibar kwa kulindwa na Mtukufu Salim jecha maana tayari alikwishatimuliwa na chama chake.
sasa utata wangu ni kule kuteuliwa kwake kuwa waziri kwenye serikali ya zanzibar ( sina ugomvi na uteuzi wake ) , lakini je ameteuliwa kama raia yeyote wa kijiweni mwenye sifa ya uzanzibar tu ama ameteuliwa kama mpinzani anayetokea chama cha ADC ?
Hili ni lazima lijibiwe ili tuujue ukweli na ili tuweke utaratibu wa kuheshimu maamuzi yanayotolewa na vyama vya siasa dhidi ya wanachama wakorofi wanaopuuza katiba za vyama vyao .
Huyu jamaaalisha tupiwa vilago baada ya kushindwa kuheshimu mamlaka zilizo mkaribisha ndani ya Adckama tutakubali utaratibu huu wa watu kudharau na kupuuza maamuzi ya vyama vyao kwa sababu ya kulindwa na dola ni bora turudi kwenye mfumo wa chama kimoja .
Hii ni kasoro nyingine ktk uteuzi wa rais wa Zanzibar na usiginaji mkubwa wa katiba,Hamad Rashi hana chamahili lazima wajuzi waje waliweke sawa , HAMAD RASHID hawezi kuhudhuria kikao chochote cha ADC , sasa huyu uanachama wake ukoje ?
Hawa watahukumiwa na ahllah maana wasidhani wana uwezo wa kumdanganyahaya wachumia tumbo ndio wanao ua vyama vya upinzani, huyu ni mpaka ADC wapeleke hoja ya kutomtambua baraza la wawaakilishi, nakumbuka hata zito aling'olewa kwa nguvu.
Haya ya kumuachia Allah ndio yanayowafanya Lumumba walete dharau!Hawa watahukumiwa na ahllah maana wasidhani wana uwezo wa kumdanganya
Jamaa anaongozwa na tumbo na kumbe wakati yupo CUF ndio alikuwa anasaliti kwa kuvujisha mipango ya CUFNi annex wa chama anachokitegemea kupata mlo wa kila siku!
Sasa tufanyeje mkuu maana wenzetu lumumba wana jeshi na polisi utawafanyaje?Haya ya kumuachia Allah ndio yanayowafanya Lumumba walete dharau!
KKwani huko kwa wenzetu hakuna jeshi wala polisi?! hakuna dhambi mbaya kama uoga.Sasa tufanyeje mkuu maana wenzetu lumumba wana jeshi na polisi utawafanyaje?
Watanzania tumegubikwa na jinamizi la uoga mwingiKKwani huko kwa wenzetu hakuna jeshi wala polisi?! hakuna dhambi mbaya kama uoga.
Poleni sana. Hamad Rashid ananitambua. Si kama UKAWAUyu mtu kumpa wadhifa wowote hafai coz hana maamuzi ya kujiamini. Hao waliomueka hapo basi mimi nahisi wam uangalie mara 2 x2