Kuwa Mechanical Engineer ni kama kuwa Rais wa nchi, hizo kozi zingine ni kama wizara tu. Ukisoma hiyo dunia ni yako maana una uwanja mpana wa kufanya chochote.
Kuwa Mechanical Engineer ni kama kuwa Rais wa nchi, hizo kozi zingine ni kama wizara tu. Ukisoma hiyo dunia ni yako maana una uwanja mpana wa kufanya chochote.
Mkuu sikushauri ukasomee kozi yoyote ya science(note Uhandisi na afya) UDSM sababu wame base sana kwenye theory na hawana vifaa vya kutosha so utatoka umemeza theory tu na prac zer0 labda kama unataka kuwa mwalimu mzuri wa course yako [emoji1]