Hivi Mbuta Nanga yuko wapi?

Humble African

JF-Expert Member
Jul 28, 2013
4,779
14,377
Nilikuwa shabiki wake kwa kufuatiia mitkasi ya maisha yake ya majuu, na nilikuwa nahangaika kutaka kujua uzima wa akili yake mpaka sasa bila mafanikio sijui ni crazy bald au ilikuwa ni over charming tu? Loh! Maana si kwa matimbwili na mamitikasi yale!

Maana alishampa mautamu na Ambalulu yake Mh Lema huko majuu then baadae tena akammind lema kwamba alimbaka na haikuwa ridhaa yake...! Akamwekea password na beria kwa mamwela wa UK ya kutokatiza majuu kwa bibi malkia mhe Lema...loh! Mhe noma na mbuta noma vile vile Ila Mh nae noma zaidi anakulaga mpaka madege yasiyoliwa manyawawa na makimiranzoka.loh!

Bado na style yake ya kuvaa vichupi akiwa kwenye viatu vya mchuchumio na tumiguu twake kama fito akining'inia kwa ustadi kwenye ukuta na kubaki kama Kuku kisorya alienyonyolewa tayari kwa kubanikwa...aaaah!! She was funny and comic asee! Lakini yeye alikuwa anaona poa tu kwani ilikuwa sehemu ya matangazo tu..Mh Lema yeye akaona tangazo tofauti na mbuta.

Kuna time tena wakaingia kwenye bifu na Kubwa la majambazi Mange...alikuwa za uso huyu mbuta mpaka nikamuonea huruma! Then from that moment sijamsikia teeena! Sijui Mange alimfanya nini huyu my favourite comedian.

Mwenye taarifa anisaidie niendelee kumchora tena mbuta nanga kwenye mitkasi yake!
 
Muulize MC pilipili pia anaweza kuzijua habari za huyu Mbuta nanga pia.... Nae history yake ni kama Joyce Kiria na wao huwa wana mambo yanayolipuka kwa kipindi na kuwa normal pia
Au ni mwezi Nchanga hawa!?
 
Mbuga nanga havai vichupi anavaa machupi
1474997984512.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom