Hivi mbunge wa Arumeru Magharibi umefanya nini mpaka sasa?

Azarel

JF-Expert Member
Aug 25, 2016
26,104
34,057
Habarini Wadau,

Aicee kwakweli kuna viongozi wengi tu wenye mapungufu LAKINI huyu wa Arumeru Magharibi ndugu Gibson Meseyeki Ni HOVYO sijawahi kuona.

Pamoja na changamoto nyingi za maji na barabara katika jimbo lake hakuna chochote alichofanya na anachofanya hata sasahivi.

Nikiri wazi tu ni sawa na kutokuwa na Mbunge KABISA.

Sijawahi kuona Mbunge ambaye hajawahi hata kusimama bungeni kuelezea kero zilizopo kwenye jimbo lake au hata kutetea ama kupinga hoja yoyote.

Barabara fupi zipo mjini kabisa Ilboru, White Rose na hata ya kuelekea kwake lakini ni MBOVU SANA.

Anashindwa hata kuwashinikiza madiwani na maafisa watendaji kusimamia utengenezaji wa barabara hizo mpaka wananchi wasio na uwezo wanajitolea wenyewe.

Mbona Wabunge wengine hata wa upinzani wanakutana na ma DED, wakuu wa wilaya na viongozi wengine wa halmashauri kuleta maendeleo katika majimbo yao?

Ninajua upo humu, Gibson ulipiga kampeni kuomba kura za watu ili iweje ikiwa Uongozi huuwezi?

Wewe unachojisifia kila mara ni ujenzi na marekebisho ya shule moja ya Enyoito, mengine ni sifuri.

Ninakiri Kusema Arumeru Magharibi haina Mbunge.
 
Hahaha wewe vipi, serikali inahamia Dodoma, na miradi inaeleweka ni reli ya SGR, stiglers gorge, vitambulisho vya machinga, terminal 3, ndege za watalii, fly over ya mufugale, hiyo Arumeru ndio nini.
Wimbo mmoja how come wewe huelewi?! Mkikamatwa na DC mkawekwa ndani mnalaumu, who care about arumeru magharibi as long as jimbo ni la ccm it is all good.
Unataka kumuyumbisha mkuu nini?!
 
Mwenye uelewa, na udadisi, atuambie majimbo kumi tu yenye maendeleo kushinda mengine. Kuna wengine husema kina fulani hawajaleta maendeleo(ingawa si kazi yao peke yao).... Kwahiyo wajiandae pakuweka sura zao in the coming election, na watafute kazi nyingine. Ni nani pia hastahili kutafuta kazi?
 
Habarini Wadau,

Aicee kwakweli kuna viongozi wengi tu wenye mapungufu LAKINI huyu wa Arumeru Magharibi ndugu Gibson Meseyeki Ni HOVYO sijawahi kuona.

Pamoja na changamoto nyingi za maji na barabara katika jimbo lake hakuna chochote alichofanya na anachofanya hata sasahivi.

Nikiri wazi tu ni sawa na kutokuwa na Mbunge KABISA.

Sijawahi kuona Mbunge ambaye hajawahi hata kusimama bungeni kuelezea kero zilizopo kwenye jimbo lake au hata kutetea ama kupinga hoja yoyote.

Barabara fupi zipo mjini kabisa Ilboru, White Rose na hata ya kuelekea kwake lakini ni MBOVU SANA.

Anashindwa hata kuwashinikiza madiwani na maafisa watendaji kusimamia utengenezaji wa barabara hizo mpaka wananchi wasio na uwezo wanajitolea wenyewe.

Mbona Wabunge wengine hata wa upinzani wanakutana na ma DED, wakuu wa wilaya na viongozi wengine wa halmashauri kuleta maendeleo katika majimbo yao?

Ninajua upo humu, Gibson ulipiga kampeni kuomba kura za watu ili iweje ikiwa Uongozi huuwezi?

Wewe unachojisifia kila mara ni ujenzi na marekebisho ya shule moja ya Enyoito, mengine ni sifuri.

Ninakiri Kusema Arumeru Magharibi haina Mbunge.
Mbona unamlazimisha ayaone matatizo ambayo hayapo jimboni kwake? au na wewe ni mwanakamati wa roho mbaya nini?
 
Hahaha wewe vipi, serikali inahamia Dodoma, na miradi inaeleweka ni reli ya SGR, stiglers gorge, vitambulusho vya machinga, terminal 3, ndege za watalii, fly over ya mufugale, hiyo Arumeru ndii nini.
Wimbo mmoja how come wewe huelewi?! Mkikamatwa na DC mkawekwa ndani mnalaumu, who care about arumeru magharibi as long as jimbo ni la ccm it is all good.
Unataka kumuyumbisha mkuu nini?!

Una coments za kejeli balaa 😅😅
 
Una coments za kejeli balaa 😅😅
Hahaha kuunga juhudi sio kejeli, au nawe hufahamu kama tunahamia Dodoma?! Vipi kuhusu reli ya SGR, vipi ndege za watalii, na terminal3, ili watalii wawahi tuna fly over ya mfugale, sasa yeye anauliza kuhusu Arumeru Magharibi si upotoshaji huo?! Bungeni walikataa mjadala wa korosho wakasema mazao yote yanakatwa kodi na kusimamiwa na serikali, sasa serikali imeweka vipaumbele kwanini yeye anataka kutuchanganya?! Huyu anafaa kuwekwa ndani na DC, jimbo ni la ccm why bother, who cares by the way?! Hahaha unga juhudi tuimbe wimbo mmoja. Ukiwa mkorofi takukuru watakuweka ndani, kumbuka uhujumu uchumi hauna dhamana. Bahati mbaya sikuhizi shule zimekataza viboko ungechapwa tu hakuna namna
 
Jimbo la Arumeru Magharibi lina bahati mbaya sana. Halijawahi kupata mwakilishi wa kulitetea. Hata wale wa CCM hawakufanya chochote. Gibson ndio kabisa! Wana Arumeru magharibi tubadilike 2020, tumchague MTU sio chama.
 
😂💪💪😂💪😂😂😂😂😂😂 Yaan ww ni kivurge sijapata ona humu ndani😂😂😂😂
 
Mbunge ana bajet au anashauri serikali kuhusu maendeleo? Wewe utakuwa yule kada wa kijani aliyekatwa wakati wa kura za ndani. Hata jando hujaenda masai gani wewe?
Habarini Wadau,

Aicee kwakweli kuna viongozi wengi tu wenye mapungufu LAKINI huyu wa Arumeru Magharibi ndugu Gibson Meseyeki Ni HOVYO sijawahi kuona.

Pamoja na changamoto nyingi za maji na barabara katika jimbo lake hakuna chochote alichofanya na anachofanya hata sasahivi.

Nikiri wazi tu ni sawa na kutokuwa na Mbunge KABISA.

Sijawahi kuona Mbunge ambaye hajawahi hata kusimama bungeni kuelezea kero zilizopo kwenye jimbo lake au hata kutetea ama kupinga hoja yoyote.

Barabara fupi zipo mjini kabisa Ilboru, White Rose na hata ya kuelekea kwake lakini ni MBOVU SANA.

Anashindwa hata kuwashinikiza madiwani na maafisa watendaji kusimamia utengenezaji wa barabara hizo mpaka wananchi wasio na uwezo wanajitolea wenyewe.

Mbona Wabunge wengine hata wa upinzani wanakutana na ma DED, wakuu wa wilaya na viongozi wengine wa halmashauri kuleta maendeleo katika majimbo yao?

Ninajua upo humu, Gibson ulipiga kampeni kuomba kura za watu ili iweje ikiwa Uongozi huuwezi?

Wewe unachojisifia kila mara ni ujenzi na marekebisho ya shule moja ya Enyoito, mengine ni sifuri.

Ninakiri Kusema Arumeru Magharibi haina Mbunge.
 
Jimbo la Arumeru Magharibi lina bahati mbaya sana. Halijawahi kupata mwakilishi wa kulitetea. Hata wale wa CCM hawakufanya chochote. Gibson ndio kabisa! Wana Arumeru magharibi tubadilike 2020, tumchague MTU sio chama.
Yaani mkuu huyo jamaa hakuna chochote..!!
 
Mbona unamlazimisha ayaone matatizo ambayo hayapo jimboni kwake? au na wewe ni mwanakamati wa roho mbaya nini?
Ondoa ama punguza ujinga ulio nao. Huyu Mbunge wa sasa wa Arumeru ni wa hovyo kuliko wote Arusha.

Hakuna chochote alichofanya na ushahidi upo.

Au ni wewe unajitetea humu jamvini?
 
Mbunge ana bajet au anashauri serikali kuhusu maendeleo? Wewe utakuwa yule kada wa kijani aliyekatwa wakati wa kura za ndani. Hata jando hujaenda masai gani wewe?
Tuliza mshono wa gov wewe mama...!

Unawashwawashwa... eeh
 
Mbunge ana bajet au anashauri serikali kuhusu maendeleo? Wewe utakuwa yule kada wa kijani aliyekatwa wakati wa kura za ndani. Hata jando hujaenda masai gani wewe?
Halafu we sabndarui t*ako laini usije zoeazoea tena niquote...!
 
Back
Top Bottom