Ngoja nitumie hii mbinu akizingua basiAcha ufala.. we unaongeaje ...shika shika na wewe.. mtoto wa kike dawa ni action tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeshapitia mkuu nimepata maujanja ngoja niyatumiePitia vizuri uzi wa kula tunda kimasihara.
Halafu acha kututumia walokole kwenye mambo ya kipuuziHivi mbona wanawake siwaelewi?
Kuna dada mmoja tunakaa mtaa mmoja, akiwa anaongea na wanaume wengine anapenda sana maswala ya mapenzi yaani anachekelea sana mara ashikweshikwe lakini akikutana na mimi anajifanya decent.
Ukigusia maswala ya mapenzi anachukia sana na kujifanya mlokole na kuondoka.
Wakuu nataka kurusha ndoano lakini simuelewi kabisa huyu dada