Hivi mbona mikumi mbugani hakuna TRAFIC

K 4 LIFE

JF-Expert Member
Jul 21, 2015
2,567
416
wakuu nina mada fupi sana hapa, hivi mbona pale mikumi mbugani hakuna TRAFIC wa kukamata magari yaendayo kasi na kugonga wanyama? afadhali wangekuepo hata trafic wa tochi wanatosha,
 
wakuu nina mada fupi sana hapa, hivi mbona pale mikumi mbugani hakuna TRAFIC wa kukamata magari yaendayo kasi na kugonga wanyama? afadhali wangekuepo hata trafic wa tochi wanatosha,
Unaruhusiwa kujitolea mkuu....
 
Huwa wakuwepo japo si mara zote. Wanakuwa na gari lao binafsi na hawasimami mbali na hilo gari. Mara ya mwisho nimeshuhudia December 2015
 
KUJIBU POST ZAKO, INABIDI MTU AWE NA AKILI FYATU! KAMA ZAKO! HIVI UMESHAVUNJA UNGO KWELI?!
 
Juzi kati nyani walikusanyika na kuweka magogo barabarani baada ya mwenzao mmoja kugongwa,wakawa wanapiga vibao abiria wa kwenye mabasi mpaka zilipokuja difenda 6
 
Back
Top Bottom