Burn the bridge _Tz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2021
- 2,319
- 6,877
Ndio mkuu alafu ni suala sensitive sana kwangu, na kosa ni lao nina haki 100% ila wanataka kunifelishaHahaha na apo angekaa nayo zaidi ya wiki tatu na asingeipeleka popote na wala hajali
Mkuu nitaharibu kila kituUngemuweka na mabanzi
Mke wa boss ea ofisi huyo ndio maana ana kiburiUngemuweka na mabanzi
Inasikitisha sanaMiaka kadhaa nyuma nilimfanyia mtu kazi yake, freelancing na akatokea kuvutiwa na kazi yangu.
Jamaa alinipa maelekezo kuwa nipeleke CV yangu ofisi fulani nimkabidhi secretary anaeitwa Jane.
Nilifika mpaka ofisini na kukutana na huyo Bi. Jane. Introduction kwanza anamfokea mtu wa usafi ambae ni mama wa makamo, alikuwa anatoa maneno ya kejeli kama vile ni katoto kadogo anakakaripia.
Kumkabidhi bahasha ya yangu sasa, kwanza aliniangalia juu mpaka chini halafu kejeli zikahamia kwangu. Bila hata kutaka maelezo alianza nyodo kuwa hakuna kazi hivyo nisiweke matumaini yangu juu. Nikaona isiwe tabu, nilimuachia bahasha nikaondoka zangu.
Baada ya siku 2 jamaa alienielekeza nipeleke CV akanipigia kuuliza mbona sikupeleka. Nikamwambia kilichotokea.
Jamaa akaniambia J3 yake niamkie hapo ofisini.
Kufika Jumatatu niliwahi kidogo, nikapokelewa na Jane, kama kawaida akaanza kutaranya kuwa alishaniambia hakuna kazi. Mimi sikumsemesha nikakaa tu hapo reception. Ile kidogo ilimtisha maana alinywea na kuanza kujiongelesha kiupole.
Baada ya muda jamaa akaingia, Jane kainuka kwa heshima na kumsalimia jamaa na neno Boss baada ya kila sentence.
Swali la kwanza Boss akauliza kama kuna bahasha yake yeyote ililetwa na mimi wiki iliyopita, Jane akaanza kujiuma uma bila ya jibu la msingi.
Kufanya story kuwa fupi, ni kwamba nilianza kazi hapo na alikuwa ana report kwangu. Kutokana na malalamiko ya wafanyakazi wengi pamoja na wageni juu ya tabia za Jane, ilibidi tu afungashe virago maisha yaendelee.
Basi mkuu una hekima sana aiseeMiaka kadhaa nyuma nilimfanyia mtu kazi yake, freelancing na akatokea kuvutiwa na kazi yangu.

Mimi issue ipo chuoni Naona mfumo wao umezingua naonekana nadaiwa mara sina vigezo wanataka nirudie mwaka. Sasa nishavurugwa sijui nifanye NiniHao wapuuzi huwa ni viburi flow sana. Hasa huko halmashauri ndio hawashikiki kabisa.
Kwa jinsi nilivyoona anamkaripia yule mama, nilijua moja kwa moja ni mtu wa aina gani. Nilitaka sana nimjibu ovyo lakini nashukuru Mungu nilipata busara ya kuondoka tu.Basi mkuu una hekima sana aisee
Mimi siwezi ningemtusi
Fact kabisa mkuu.Kwa jinsi nilivyoona anamkaripia yule mama, nilijua moja kwa moja ni mtu wa aina gani. Nilitaka sana nimjibu ovyo lakini nashukuru Mungu nilipata busara ya kuondoka tu.
Wanawake mara nyingi wanapokuwa katika nafasi za madaraka kidogo tu basi uhisi kila alie chini yao ni takataka.
Mfano mzuri linganisha ukikamatwa na trafffic wa kiume na ukikamatwa na wa kike. Wakike wanakuwa visirani mno, hii huenda mbali katika kila sehemu zenyewe wanawake. Mabenki, maofisini, hospitali. Ni hulka ya kike kuwa na dharau.
Onana na Head of Finance ama Dean of studentsMimi issue ipo chuoni Naona mfumo wao umezingua naonekana nadaiwa mara sina vigezo wanataka nirudie mwaka. Sasa nishavurugwa sijui nifanye Nini
Ndio nipo ofisini kwake hapa nasubiri foleni mana dah sio mchezoOnana na Head of Finance ama Dean of students
Jane alijuta kukutana na wewe.Miaka kadhaa nyuma nilimfanyia mtu kazi yake, freelancing na akatokea kuvutiwa na kazi yangu.
Jamaa alinipa maelekezo kuwa nipeleke CV yangu ofisi fulani nimkabidhi secretary anaeitwa Jane.
Nilifika mpaka ofisini na kukutana na huyo Bi. Jane. Introduction kwanza anamfokea mtu wa usafi ambae ni mama wa makamo, alikuwa anatoa maneno ya kejeli kama vile ni katoto kadogo anakakaripia.
Kumkabidhi bahasha ya yangu sasa, kwanza aliniangalia juu mpaka chini halafu kejeli zikahamia kwangu. Bila hata kutaka maelezo alianza nyodo kuwa hakuna kazi hivyo nisiweke matumaini yangu juu. Nikaona isiwe tabu, nilimuachia bahasha nikaondoka zangu.
Baada ya siku 2 jamaa alienielekeza nipeleke CV akanipigia kuuliza mbona sikupeleka. Nikamwambia kilichotokea.
Jamaa akaniambia J3 yake niamkie hapo ofisini.
Kufika Jumatatu niliwahi kidogo, nikapokelewa na Jane, kama kawaida akaanza kutaranya kuwa alishaniambia hakuna kazi. Mimi sikumsemesha nikakaa tu hapo reception. Ile kidogo ilimtisha maana alinywea na kuanza kujiongelesha kiupole.
Baada ya muda jamaa akaingia, Jane kainuka kwa heshima na kumsalimia jamaa na neno Boss baada ya kila sentence.
Swali la kwanza Boss akauliza kama kuna bahasha yake yeyote ililetwa na mimi wiki iliyopita, Jane akaanza kujiuma uma bila ya jibu la msingi.
Kufanya story kuwa fupi, ni kwamba nilianza kazi hapo na alikuwa ana report kwangu. Kutokana na malalamiko ya wafanyakazi wengi pamoja na wageni juu ya tabia za Jane, ilibidi tu afungashe virago maisha yaendelee.
Kwani ishu imekaaje?Ndio nipo ofisini kwake hapa nasubiri foleni mana dah sio mchezo
Akizingua hapo kifuatwe kipi?
Mana natamani kupanda juu ya jengo la Chuo nijirushe