Hivi marekani na north korea zikipigana zina madhara yapi kwa nchi za Africa?

Ni nzuri kabisa wapiganapo fahali wawili nyasi uumia.
Bahari haitakuwa salama mafuta itakuwashida nk
 
Nchi kama Tz lazima iathirike2.
Hatuna uchumi stable, tunategemea misaada toka S. Korea ambayo kwa namna moja au nyingine lazima waingie katika vita hiyo.
 
Back
Top Bottom