mpango wa Mungu ila shetani kaamua kutumia huu mpango kuwavuruga watu akili .... hichi kitu kimewekwa kwa nia nzuri tu ila tumevunja maadili ya mapenzi .. hatuna uvumilivu.. tumeamua kugeuza mapenzi biashara.. na kugeuza mapenzi kama sehemu ya kutoa adhabu kwa demu... kama sehemu ya kujionyesha uwanaume wako wakati kuna sehemu nyingi tu unaweza tumia na uwanaume wako ukaonekana....... tumeamua kufanya mapenzi kama ni asilimia 99% ya maisha yetu wakati kuna mambo mengi tu yanahitaji nafasi .. ndiiyo maana haya mapenzi yanatusumbua kwa sababu tutunayapa airtime kubwa.....
ukija kuchunguza kuna mamatatizo lukkuki kwenye jamiii ila tunayaweka pembeni na kujifariji kwamba mapenzi yatasuluhisha eti nani kasema? kwa hiyo sasa fanya swala la mapenzi kama issue ya kawaida ukiona auendani na mwenzio piga chini fasta tafuta ,wingine ... mbona tunaweza sema mimi leo sitaki hiki na ukaweza why not mapenzi...... hii sekta binadamu tumejifunga funga wenyewe tu sasa wacha yatuvuruge mpaka tuvurugike