Hivi Manji ndiyo nani nchi hii?

Hivi Manji ndiyo nani nchi hii?

Manji ni kada maarufu na jambazi la ccm ...ndo wanachangia ccm......huyu mwizi ni hatari sana
 
Yaani huyu mtu anayeitwa Manji akimkalia vibaya JPM atarudi India kwa mashua.
Tangu 2007 anaisumbua serikali kwa pesa zake alizowanunua waliokuwa mabwege ya Halmashauri ya wilaya ya Kinondoni wakampa mamia ya ekari awekeze huko Coco Beach.

Hivi Manji anafikiri ile serikali ya kishkaji ya babake Riz1 bado iko kwenye system, hajui hata huyo Riz1 mwenyewe jipu lake linasubiriwa liive akamliwe.

Mpaka Rais anapoteza carories zake kutamka Yusuf Manji aachie huo ufukwe yeye hasikii anadhani atafua dafu na hiyo kesi yake aliyofungua mahakama ya ardhi? serikali ipo tena ya Magufuli si ya Kikwete. Atanyooka tu asidhani hiyo ni Yanga.

umeongea vizuri mkuu,ila unapotaja jina YANGA utaje kwa nidhamu manake ni jina zito.huko kwingine nakuunga mkono.
 
Mbn akijenga tunaenda kubomoa, hata prezidaa analijua hilo na ametoa go ahead..
 
umeongea vizuri mkuu,ila unapotaja jina YANGA utaje kwa nidhamu manake ni jina zito.huko kwingine nakuunga mkono.

Asante nimeliondoa neno Yanga
 
Yaani huyu mtu anayeitwa Manji akimkalia vibaya JPM atarudi India kwa mashua.
Tangu 2007 anaisumbua serikali kwa pesa zake alizowanunua waliokuwa mabwege ya Halmashauri ya wilaya ya Kinondoni wakampa mamia ya ekari awekeze huko Coco Beach.

Hivi Manji anafikiri ile serikali ya kishkaji ya babake Riz1 bado iko kwenye system, hajui hata huyo Riz1 mwenyewe jipu lake linasubiriwa liive akamliwe.

Mpaka Rais anapoteza carories zake kutamka Yusuf Manji aachie huo ufukwe yeye hasikii anadhani atafua dafu na hiyo kesi yake aliyofungua mahakama ya ardhi? serikali ipo tena ya Magufuli si ya Kikwete. Atanyooka tu asidhani hiyo ni awamu ya nne.
kila kitu kina muda wake mkuu, usishangae anayepokonya hizo ardhi utafika muda na yeye atapokonywa popote ambapo anazo, visasi anavianzisha mwenyewe, ni muda tu ndugu, inawezekana tusione sisi basi vizazi vijavyo vikashuhudia haya kama tunavyoshuhudia leo tulioko hai, ni suala la muda tu
 
Wahindi wanazarau sana, huyu shombe shombe wakindi ni mfano tosha,mwache tu magu alale nae mbele.
Nakumbuka miaka kazAa,ilopita Manji alishawahi Kumnenea Magu kuwa Anaongea na Mwenye mbwa haongei na mbwa, akimainisha MAGU NI MBWA !!! ,Hi ni zarau sana .
Fanya kazi Magu,usirudi nyuma.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu jamaa bana aliwahi kumtolea mbovu Magu balaa!! hakutumia kabisa busara hata kidogo hakujua kabisa kwamba mwenye ratiba kamili ya mwanadamu ni Mungu pekee, leo uko hapa kesho utakuwa sehemu Fulani na mtu Fulani!!
 
Acha anyooshwe sababu naye alikua anajiona kama mmiliki wa nchi, manji aliichezea sana serikali hasa wale waliokua wakimtaka afuate sheria aliwatolea maneno machafu na kuwakebehi sababu ikulu alishainunua na akawa amefikia mpaka hatua ya kuamua nani apitishwe nec amtakaye yeye.
 
Manji ni naye mjua ni YUSUPH kada wa CCM, mmiliki wa CLUB ya YOUNG AFRICANS, moja kati ya matajiri nchini kwetu (mafanyabishara) mwenye asili ya mashariki. Huyo ndo manji
 
Huyu tatizo alikua amejitoa ufahamu kabisa wenzake akinasalam walishausoma mchezo tokea enzi za campaign wakaona hii ni ngoma nyingine tofauti ngoja tuwe wadogo lakini jamaa akaona atafanya kama alivyozoe kumbe watu wanamlia tu timing.
 
Back
Top Bottom