maramia
JF-Expert Member
- Jul 17, 2015
- 2,029
- 1,345
Yaani huyu mtu anayeitwa Manji akimkalia vibaya JPM atarudi India kwa mashua.
Tangu 2007 anaisumbua serikali kwa pesa zake alizowanunua waliokuwa mabwege ya Halmashauri ya wilaya ya Kinondoni wakampa mamia ya ekari awekeze huko Coco Beach.
Hivi Manji anafikiri ile serikali ya kishkaji ya babake Riz1 bado iko kwenye system, hajui hata huyo Riz1 mwenyewe jipu lake linasubiriwa liive akamliwe.
Mpaka Rais anapoteza carories zake kutamka Yusuf Manji aachie huo ufukwe yeye hasikii anadhani atafua dafu na hiyo kesi yake aliyofungua mahakama ya ardhi? serikali ipo tena ya Magufuli si ya Kikwete. Atanyooka tu asidhani hiyo ni awamu ya nne.