Fanya uende ukaone mwenyewe hata kutembelea ndugu tu...unajua mabanda kuzunguka uwanja kama wa mpira ...? Humo mabanda ndio wanalala mahabusu....wanaita mabweni etc...mnalundikwa huko kuna vilago ( vigodoro vidogo) mnapangana mnalala mzungu wa 4....Habari zenu
Napenda kuuliza kule mahabusu unako kuwa umekaa ukiwa unasubiri kesi yako kusikilizwa mahakama baada ya kusogezwa mbele hivi huwa kukoje?
Nimepata hili swali baada ya Tundu Lissu kurudishwa mahabusu baada ya kukosa dhamana kutokana na kesi yake ya uhaini. Ni gerezani ama ni wapi? Kwa hiyo huko aliko Lissu yupo kwenye nondo kabisa ama mahabusu zao ni tofauti na watu wa kawaida? Hivi ata simu anatumia huko aliko?
Tafadhali naomba anae fahamu anifahamishe kwa ufasaha, karibu.
Fanya uende ukaone mwenyewe hata kutembelea ndugu tu...unajua mabanda kuzunguka uwanja kama wa mpira ...? Humo mabanda ndio wanalala mahabusu....wanaita mabweni etc...mnalundikwa huko kuna vilago ( vigodoro vidogo) mnapangana mnalala mzungu wa 4....
Mabweni ViP huko watu sio wengi....sana...na mengine ya wagonjwa etc....mchana huachiliwa hapo uwanjani.....wanapiga story kufua etc...tafutayoutube amdika magufuli atembelea gereza butimba.....utapata picha zaidi
Mtuhumiwa unatakiwa ukae polisi had Upelelezi ukamilike ndio uende mahakaman kwenye hukumu na baada ya hapo ni gerezani au uachiwe.Mahabusu ni gerezani hupewi tu uniform na kufanyishwa kazi
Usichanganye mamboMtuhumiwa unatakiwa ukae polisi had Upelelezi ukamilike ndio uende mahakaman kwenye hukumu na baada ya hapo ni gerezani au uachiwe.
Mahabusu ni Gerezani na unakaa na watuhumiwa wengne waliohukumiwa tayar tofaut inakuwa ww huna Uniform ila waliohukumiwa wana uniform.
2. Sijasema hivyo, soma vizuri..Usichanganye mambo
1.Mtuhumiwa hatakiwi kukaa polisi hadi upelelezi ukamilike
2.Aliehukumiwa haitwi mtuhumiwa
Kwahiyo gerezani wanakaa mahabusu na wafungwa tu na siyo lazima kukaa mahabusu kama kesi ina dhamana unaruhusiwa kutafuta wadhamini na kesi ikaendelea ukiwa nje
Ni Sheria gani inasema mtuhumiwa akae polisi hadi upelelezi ukamilike? Hamna hiyo sheria2. Sijasema hivyo, soma vizuri..
1. Najibu Hoja yako ya kwanza:-
Kisheria mtuhumiwa anatakiwa akae polisi had upelelezi ukamilike. Au aachiwe kwa dhamana na polisi had pale upelelez ukamilike.
Kwahiyo unaweza kutokea Nyumban na kwenda Polisi na kupelekwa Mahakaman na mahakama itakuhukumu au kuairisha kesi na mtu akikosa dhamana ndio anaenda Mahabusu.
Polisi anaweza kukupeleka Mahabusu ikiwa Kesi yako haina dhamana.
Hii ya kupeleka Kesi mahakaman alaf polisi anasema upelelezi bado ni kuonea Raia.
Wajuzi wa sheria watakuja.Ni Sheria gani inasema mtuhumiwa akae polisi hadi upelelezi ukamilike? Hamna hiyo sheria
Mkuu waache kujipa mav8 waje kukujengea magereza ya kisasa. SeriouslyNchi hii bado ni koloni la watu wachache ndani ya CCM .
Tangu ukoloni magereza ni yale yale yaliyojengwa na Mjerumani kwa lengo la kuwafunga watu weusi .
Yaani CCM miaka 64 ya uhuru haijaweza kujenga Gereza Jipya la kisasa lenye hadhi ya kumweka Binadamu .
Ukifika wanaplala mbwa wa Makada wa CCM ni pazuri kuliko magereza ambayo Vijana hao na wafungwa wengine wanazalisha na kuipunguzia serikali gharama kubwa sana .
Yaani wafungwa wanachoizalishia serikali ni kikubwa sana lakini serikali imeshindwa kabisa kujenga magereza ya kisasa yenye huduma kama maji safi ,vyoo ,vyenye maji , Uwanja mzuri wa ,mchezo , Jiko zuri ,sero zenye huduma ya maji ,Ukuta wa kisasa wenye Kamera ,Nyumba bora za askari magereza n.k.
Baada ya kuwapa huduma nzuri za kuishi kama binadamu sasa hatua inayofuata ni kuhakikisha wanatumia nguvu zao kwa asilimia 100 kuzalisha na kuleta tija . Masaa 12 watafanya kazi zote kulingana na fani zao.
Serikali ya mpaka karne hii baada ya uhuru bado wakoloni weusi wanatumia magereza kama sehemu ya kuwakomoa na kuwatesa binadamu.Hasa Tanganyika. Tanganyika imekua ndiyo sehemu ya watawala kufanya wanachotaka alimradi hakiwaumizi wao .
Zanzibar hakuna Magereza ya kikoloni kule wanaita chuo cha mafunzo.
Na uhalifu sio Mkubwa kama Tanganyika ambapo mpaka bungeni wanasifia sifa mbaya ya magereza .
Aibu kubwa kwa CCM kuwatesa wanadam kama vile ni Wanayama .
Ni wazi kuwa inavyomtesa mnyama ndivyo anavyokua mbaya na katili kwa binadamu.
Ni kwa nini viongozi wa CCM wana roho mbaya wakati wanautajiri mkubwa sana ?
Jibu ni moja utajiri wao sio halali ni utajiri wa damu na mateso ya wengine lakini pia hata nafasi walizo nazo sio za halali ni za kupeana kiupendeleo au kwa rushwa.
Hii nchi bado sana chini ya CCM.
Labda aje Gwajima au Tundu Lisu au Polepole au Jenerali Heche 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ubaya ubwela.
Heche ni zaidi ya Capt. Traore wa Bukina faso.
Miaka mitano tu nchi inakua kama Denmark.
Mamaeee🤣🤣🤣🤣
Kabla mtuhumiwa hajakamatwa maana yake kuna mlalamikaji tayari kashahojiwa na baadhi ya vielelezo vimeshapatikana , au mtuhumiwa anaweza kukamatwa moja kwa moja bila mlalamikaji ikiwa atakutwa na vielelezo vinavyoashiria uvunjifu wa sheria, kukamatwa kwake ni kwenda kuhojiwa kulingana na tuhuma hizo na baada ya hapo ni kupelekwa mahakamaniWajuzi wa sheria watakuja.
Utampekekaje mtu mahakaman wakat hujamaliza upelelezi?
Jitengenezee njenje utapata jibu zuriHabari zenu
Napenda kuuliza kule mahabusu unako kuwa umekaa ukiwa unasubiri kesi yako kusikilizwa mahakama baada ya kusogezwa mbele hivi huwa kukoje?
Nimepata hili swali baada ya Tundu Lissu kurudishwa mahabusu baada ya kukosa dhamana kutokana na kesi yake ya uhaini. Ni gerezani ama ni wapi? Kwa hiyo huko aliko Lissu yupo kwenye nondo kabisa ama mahabusu zao ni tofauti na watu wa kawaida? Hivi ata simu anatumia huko aliko?
Tafadhali naomba anae fahamu anifahamishe kwa ufasaha, karibu.
Umeongea sahihi.Kabla mtuhumiwa hajakamatwa maana yake kuna mlalamikaji tayari kashahojiwa na baadhi ya vielelezo vimeshapatikana , au mtuhumiwa anaweza kukamatwa moja kwa moja bila mlalamikaji ikiwa atakutwa na vielelezo vinavyoashiria uvunjifu wa sheria, kukamatwa kwake ni kwenda kuhojiwa kulingana na tuhuma hizo na baada ya hapo ni kupelekwa mahakamani
Kuna wakati atapelekwa mahakamani kabla upepelezi haujakamilika mfano ikiwa baadhi ya vielelezo vinahitaji kufanyiwa uchunguzi wa kisayansi ambayo kimazingira hauwezi kukamilika ndani ya siku chache, kwahiyo polisi hawaruhusiwi kukaa na mtuhumiwa hadi upelelezi ukamilike wanatakiwa wampeleke mahakamani alafu mahakama itaomba vielelezo ndo hapo huwa unaskia wanasema upelelezi haujakamilika maana kunakua na vielelezo vinavyosubiriwa majibu yake, kama ni bangi inatakiwa mkemia mkuu athibitishe kweli kuwa alichopelekewa kukichunguza ni bangi au laa.
Kwahiyo hamna sheria inayoruhusu mtuhumiwa akae polisi hadi upelelezi ukamilike ingekuwepo hiyo sheria basi ungewekwa lockup ya polisi hata miezi 6
Kuliwa jicho nje njeHabari zenu
Napenda kuuliza kule mahabusu unako kuwa umekaa ukiwa unasubiri kesi yako kusikilizwa mahakama baada ya kusogezwa mbele hivi huwa kukoje?
Nimepata hili swali baada ya Tundu Lissu kurudishwa mahabusu baada ya kukosa dhamana kutokana na kesi yake ya uhaini. Ni gerezani ama ni wapi? Kwa hiyo huko aliko Lissu yupo kwenye nondo kabisa ama mahabusu zao ni tofauti na watu wa kawaida? Hivi ata simu anatumia huko aliko?
Tafadhali naomba anae fahamu anifahamishe kwa ufasaha, karibu.
Kimsingi mtuhtmiwa hatakiwi kukamatwa na polisi had upelelez umekamika, akikamatwa inatakiwa apelekwe mahakamani na kesi ianze kusikilizwa asap, kumuweka mtuhumiwa kituo cha polis au mahabusu huku ukidai upelelez haujakamilika ni uonevu mkubwa.2. Sijasema hivyo, soma vizuri..
1. Najibu Hoja yako ya kwanza:-
Kisheria mtuhumiwa anatakiwa akae polisi had upelelezi ukamilike. Au aachiwe kwa dhamana na polisi had pale upelelez ukamilike.
Kwahiyo unaweza kutokea Nyumban na kwenda Polisi na kupelekwa Mahakaman na mahakama itakuhukumu au kuairisha kesi na mtu akikosa dhamana ndio anaenda Mahabusu.
Polisi anaweza kukupeleka Mahabusu haraka ikiwa tu Kesi yako haina dhamana.
Hii ya kupeleka Kesi mahakaman alaf polisi anasema upelelezi bado ni kuonea Raia.
Kwahiyo Mtuhumiwa anakuwa chini ya polisi had upelelezi ukamilike.
Anaweza kuwa nje kwa dhamana au ndani Selo na hatakiwi apelekwe gerezani kama kesi inadhaminika
mkuu hizo sheria unazopoint hapa ni sahihi kwani ni za kwenye vitabu vya sheria nchini lakini shida kubwa ni kwenye utekelezaji wake kwa waliopewa mamlaka kuzisimamia hizo sheria utekelezaji wake ni mbingu na ardhi..hizo sheria za kwenye makaratasi na vitabu zinafanyiwa kazi kwa vigogo wazito wenye ukwasi,viongozi au waliowahi kuwa viongozi,au uwe na ukaribu na wenye madaraka na hili ni kundi dogo kwenye jamii..ila wale vidampa na walalahoi hio misahafu ya sheria haikumbukwi ni mwendo wa kata funua kafie mbele.! na haya yote ww unayajua sana tu hivyo acha kujitoa ufahamu kujidai unazijua sana hizo sheria wakati wa usimamizi wake ni uozo mtupu kuanzia kukamata,kuhojiwa hadi huko mahakamani ni sarakasi tupu yote haya unayajua vizuri sana utamu wa hizo sheria ni kwa wenye fedha,viongozi na vibaraka wao na wenye nguvu na mamlaka na jamaa zao ila walio wengi ni vilio na maumivu tupu.!Umeongea sahihi.
Ika haujapata Point yangu.
Ila elewa kuwa mtuhumiwa anakuwa chini ya uangalizi wa Polisi had pale atakapopelekwa mahakamani.
Either akiwa anatokea Lookup au nyumban kwake.
Sheria inakataza kesi kupelekwa mahakaman kama upelelezi haujakamilika ila kuna kesi mfano uliotajwa hapo juu na nyingne ndio zinaruhusiwa.
Hautakiwi kukaa polisi, unaweza kuachiwa kwa dhamana ndan ya masaa 24 kama kesi inadhaminika.
Zipo kesi nying tu za watu wanatokea Nyumban na kwenda polisi na then mahakaman.