Magulumangu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2010
- 3,047
- 455
Miaka ya 2003 Mh Pombe magufuri alikuwa na na kesi na jamaa mmoja alikuwa anamdai m300, jamaa alikuwa anatumwa kwenda kulamba 10% tanroards, sehemu kibao tu, kesi waliombwa waitoe mahakamani na kuimalizia nyumbani, baada ya hapo alimwambia atamlipa 100m na asimfuate tena jamaa akakataa, mpaka hapo sijui kama alimlipa hizo m300 au ilikuwaje, mwenye kujua zaidi amwage hapa wakuu, maana ilitokea mpaka jamaa alishinda sijui wanaita zabuni ya kuendesha bus stand ya NZEGA lkn Mh Pombe akachakachua maana ndo kesi ilikuwa inaiva.....
Sio tetesi ni kweli na namjua jamaa for a long time ila siku hizi simsikii na sijui alipo.

Habari za udaku hizi....kama unamjua jamaa mtafute atakupa jibu....crap not meant for this forum

kama unamjua basi uwezekano wa kuwajua watu wake wakaribu ni mkubwa kuliko sisi nenda kafanye tena kiuchunguzi kido halafu uje hapa ukiwa kamili....Sio tetesi ni kweli na namjua jamaa for a long time ila siku hizi simsikii na sijui alipo.
Sio tetesi ni kweli na namjua jamaa for a long time ila siku hizi simsikii na sijui alipo.
Haijakaa vizuri imekaa kitetesi na kidaku. weka data zinazoeleweka ili iwe habari kamili
Habari za udaku hizi....kama unamjua jamaa mtafute atakupa jibu....crap not meant for this forum
Sio Prof wewe au kwenu mmefundishwa Prof ni akipata Dr tu...kweli tuko mbali watz....soon utasema na Kiwete ni prof...Hizi tetesi sioni kama zitatusaidia kusukuma gurudumu hilo zito alilopewa Pro. Magufuli.
Tuangalie utendaji wake.
'' Nilikuonesha Nyota nawe uliangalia kidole changu"
kama unamjua basi uwezekano wa kuwajua watu wake wakaribu ni mkubwa kuliko sisi nenda kafanye tena kiuchunguzi kido halafu uje hapa ukiwa kamili....
utasutwa.
Hawakosekani wa majungu jamani??????