Hivi Magufuri alimlipa M300 yule jamaa?

Magulumangu

JF-Expert Member
Jan 7, 2010
3,047
452
Miaka ya 2003 Mh Pombe magufuri alikuwa na na kesi na jamaa mmoja alikuwa anamdai m300, jamaa alikuwa anatumwa kwenda kulamba 10% tanroards, sehemu kibao tu, kesi waliombwa waitoe mahakamani na kuimalizia nyumbani, baada ya hapo alimwambia atamlipa 100m na asimfuate tena jamaa akakataa, mpaka hapo sijui kama alimlipa hizo m300 au ilikuwaje, mwenye kujua zaidi amwage hapa wakuu, maana ilitokea mpaka jamaa alishinda sijui wanaita zabuni ya kuendesha bus stand ya NZEGA lkn Mh Pombe akachakachua maana ndo kesi ilikuwa inaiva.....
Sio tetesi ni kweli na namjua jamaa for a long time ila siku hizi simsikii na sijui alipo.
 
Haijakaa vizuri imekaa kitetesi na kidaku. weka data zinazoeleweka ili iwe habari kamili
 
Lete habari iliyokamilika mkuu. Kwanini walikuwa wanadaiana? je huyo ni nani? kwani kuna tatizo la kudaiana?

Vipi hiyo ya kulamba 10% Tanraods kwa niaba ya Pombe au?
 
Miaka ya 2003 Mh Pombe magufuri alikuwa na na kesi na jamaa mmoja alikuwa anamdai m300, jamaa alikuwa anatumwa kwenda kulamba 10% tanroards, sehemu kibao tu, kesi waliombwa waitoe mahakamani na kuimalizia nyumbani, baada ya hapo alimwambia atamlipa 100m na asimfuate tena jamaa akakataa, mpaka hapo sijui kama alimlipa hizo m300 au ilikuwaje, mwenye kujua zaidi amwage hapa wakuu, maana ilitokea mpaka jamaa alishinda sijui wanaita zabuni ya kuendesha bus stand ya NZEGA lkn Mh Pombe akachakachua maana ndo kesi ilikuwa inaiva.....
Sio tetesi ni kweli na namjua jamaa for a long time ila siku hizi simsikii na sijui alipo.

Habari za udaku hizi....kama unamjua jamaa mtafute atakupa jibu....crap not meant for this forum
 
Hizi tetesi sioni kama zitatusaidia kusukuma gurudumu hilo zito alilopewa Pro. Magufuli.
Tuangalie utendaji wake.

'' Nilikuonesha Nyota nawe uliangalia kidole changu"
 
Tupe source ya habari yako.
 
Sio tetesi ni kweli na namjua jamaa for a long time ila siku hizi simsikii na sijui alipo.
kama unamjua basi uwezekano wa kuwajua watu wake wakaribu ni mkubwa kuliko sisi nenda kafanye tena kiuchunguzi kido halafu uje hapa ukiwa kamili....
 
Mhmm duh hatari! kama ukweli vile huyo jamaa ni connected na aliyekuwa msaidizi waka fisadi sana kajaribu ubunge CCM kakosa kura za maoni huko morogoro rushwa yake bado ndogo
 
Hayo ni mambo binafsi si tunajadili mustakali wa nchi na waTZ kwa ujumla.
 
Haijakaa vizuri imekaa kitetesi na kidaku. weka data zinazoeleweka ili iwe habari kamili

Duh nimekuwa mdaku tena haya....na wewe pia mdaku maana unanihukumu pasipo kujua...sio tetesi kama unataka data nenda kwa mabere Malando ndo aliishikilia hii kesi...u need more?
 
Habari za udaku hizi....kama unamjua jamaa mtafute atakupa jibu....crap not meant for this forum

eeeeeeeeeeeeeeehhhhhhhhhhhhhhh Crap...u crap self, you than more than they thanked you so u r a C.R.A.P
 
Hizi tetesi sioni kama zitatusaidia kusukuma gurudumu hilo zito alilopewa Pro. Magufuli.
Tuangalie utendaji wake.

'' Nilikuonesha Nyota nawe uliangalia kidole changu"
Sio Prof wewe au kwenu mmefundishwa Prof ni akipata Dr tu...kweli tuko mbali watz....soon utasema na Kiwete ni prof...
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom