Hivi magufuli hajaiona hii?

I can bet hapo sio Tanzania?

Tiba
 
Sio Bongo hapa...!!

I can bet hapo sio Tanzania?

Tiba

Sio Tanzania cheki hayo magari wanaendeshea kulia
Gwangambo, Tiba na Dodoma one caption ilikuwa tricky sikumaanisha hapa ni Tanzania lakini kwa kumtaja Magufuli waziri wa miundombinu Tanzania na hiyo Barbara hapo mkaconclude kwamba hiyo ni barabara ya Tanzania na pengine kudhani kuwa najaribu kuona kama waziri kaona makosa ya wakandarasi wake
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…