Ni kwa ajili ya kuhonga masikini wakati wa uchaguzi .Kila penye tatizo la njaa mkuu wa nchi anasema hatoi chakula, kile chakula kilichopo kwenye maghala ya serikali kimehifadhiwa kwa lengo lipi?
Tehehehe, yani ni kukumbuka mwaka juzi Mzee Kayanza alivyopiga na beat kabisa kuwa hakuna kuuza mahindi nje, maghala yote yakavimbewa nafaka hadi mengine yakawa yanapigwa mvua. Leo sijui yamepotelea wapi mpaka serikali ikose chakula cha msaada kwa wahusika. Hakuna mwaka utakokuwa mgumu kama huu, tusipo rudi kwenye mchele waNi kwa ajili ya pato la taifa kama walivyotunza mwaka juzi nakuuzia serikali ya Kenya