Hivi madawa ya kulevya hupelekwa wapi?

Hivi madawa ya kulevya hupelekwa wapi?

Angalia soko jeusi linasemaje kuhusu madawa
Kama bei imepanda zaidi ya kawaida yake basi ujue yamehifadhiwa mahali
 
Mkuu mimi sifahamu lolote kuhusu utengenezaji wa dawa wala uagizwaji wake.

Lakini nafahamu sana kuhusu drugs unazozingumzia mfano heroin ya mtaani ndiyo hiyohiyo inayotumika kutengenezea dawa za ku_relieve pains kuna kitu bado hujaki_notice
Hizo za mtaani huwa ziko so poluted. Yes, zipo zile pure zinafaa for severe pain relief, ila zile za Tandale zinachanganywa na uchafu mwingi, hazifai kwa afya
 
Kila mwaka jeshi letu pendwa hukamata watuhumiwa na kiwango kikubwa cha dawa za kulevya, mf just wiki hizi imekamatwa Heroin kilo 15. Je, huwa inapelekwa wapi?

Sijawahi kusikia zikichomwa moto au kuharibiwa!

Vipi kuhusu gongo na pombe haramu au pesa haramu?
Madawa ya kulevya yana kazi maalumu kwenye utabibu hasa hasa kwenye upasuaji.
Sema vijana wanayatumia vibaya kujiathiri wenyewe.
 
Kiutaratibu inatakiwa wayapige moto tena mbele ya Tv,wakiwemo waandishi wa habari
Kitendo cha kuyahifadhi kwa muda mrefu kunafanya watu fulani waliyemo kwenye kikosi cha dawa za kulevya kuweza kuzitoa baadhi ya dawa na kuwauzia drug dealer

Ova
 
Back
Top Bottom