Brightman Jr
JF-Expert Member
- Mar 22, 2009
- 1,224
- 236
Wewe si Mwalimu bali ni mzinzi tu...!
hah hah hah hah hah.....acha hizo watoto wa watu wanataka Elimu ya darasani wew unawapa Mapenzi hah hag hah hah..
Wewe si Mwalimu bali ni mzinzi tu...!
Mwalimu umevuka mipaka ya kazi yako, na mwanafunzi amesahau wajibu wake. Hao watoto wanaweza kufeli shule, na heshma yako kwa hao watoto ndio basi tena. Utakuwa km wale watoto toka tanga, wakiwa darasani wanamwambia mwalimu: baby sijaelewa vizuri! 1+2=?, baadae ukisema jibu ni 3. Okay honey, hapo nimekupata. Miaka hii huwez kutofautisha mwl vs mwanafunz, kwa umri, akili, na mambo mengne!