Maisha yapo muruwa kabisa kwasababu
Watu hawatekwi tena
Hawauliwi
Hakuna kubambikiziana case kishamba
Hakuna kufokeana hovyo
Kuna uhuru wa Habari
Watu ni wamoja na hawagawanywi kwa makabila wala vyama isipokuwa nyie wachachache
Mungu alitutendea wema sana