Hivi Lissu yupo?

Mpfyuuuuuuuuuuuu zake na unafiki wake
2025 simpi kura yangu wala ukawa yeyote.
Mpfyuuuuuuuuuuuu zenu ukawa .pokeeni Mpfyuuuuuuuuuuuu zenu tena.
Ipe tu CCM kwani Kuna shida gani?. Punguza unafiki.
 
Halafu hiyo CCM ndio hii iliyojaa ufisadi?. Acha kuongea nadharia.
 
yule jamaa wa ma chadomo blaah blaah blaahh au......povu ruksaa[emoji849][emoji849][emoji849]
Mnashindwa kumuulizia Katibu Mkuu Chongolo, mnamuulizia Lissu. Amesikia kilio chenu atawafikia.
 
Bila shaka sasa maisha kwa watz yapo vizuri sana!

Hamna kero kabisa,

Maana si kawaida kwa huyu jamaa kuwa kimya namna hii!
Kwann asiewepo? Hakuna tena mambo ya pyuu pyuu, kutekana na kuuwawa!! Hayo yote yalifanyika.. kwa kushindwa hoja!!
 
Bila shaka sasa maisha kwa watz yapo vizuri sana!

Hamna kero kabisa,

Maana si kawaida kwa huyu jamaa kuwa kimya namna hii!
Tulishapata uhuru kutoka kwa Mkolono mweusi 17 March 2021 so yale magumu yaliishia pale.
Kweli Mungu alijua kutenda kwa waja wake sie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…