Hivi Lipumba anafundisha wapi?

Lipumba sio Profesa, Ni mhuni wa kawaida tu!

Mtu wa kawaida? Leo Mpaka Mbowe kavamia Kigodo cha CUF kujipa Mamlaka ya kutambua au kutotambua Mwenykt wa Chama kingine. Mwalimu Seif kaenda kuomba Msaada Ufipa!
 
Lipumba ni mganga njaa tuu profesa gani mwenye akili anaweza kuhangaika Buguruni kuvunja makufuri ya milango na kuvamia ofisi kihuni?

Anatia doa ulimwengu wa wasomi na hata chuo alichosoma kinatiwa unajisi.
Heshima yako Lituye
 

Kweli natamani uproffesa ila nikikumbuka kuna professor IHL, na Akili zake bora nisiitwe proffessor,
 
Ndugu wacha mzaha kwa viumbe wasio na hatia.
Sijaleta mzaha kwani hakuna shule ya viziwi Buguruni ? Kuna ubaya gani akifundisha Lipumba hapo ?

Wewe ndiye unayetafsiri vitu vibaya
 
Sijaleta mzaha kwani hakuna shule ya viziwi Buguruni ? Kuna ubaya gani akifundisha Lipumba hapo ?

Wewe ndiye unayetafsiri vitu vibaya
Hapa watu wanamponda Mr Lipumba, kwa hiyo unana hao viziwi ndio wanaomstahili?
 
we itakua ni mwnfunz wake
 
Hapa watu wansmponda Mr Lipumba, kwa hiyo unsons hao viziwi ndio wanaomstahili?
Kwa hiyo viziwi hawastahili kufundishwa na Lipumba ? Kwani Lecturer maana yake ni nini ?
 
Kusoma CV ya Profesa Lipumba na kuilewa vyema hasa Yale machapisho yake unapaswa walau uwe na Ki Master, sasa huyo Kigori na Ki Form four chake chenye rundo la vyeti ku re sit Mtihan ataelewa nini?
Sasa mbona anafanya mambo ya kijinga na kipumbavu kama si msomi Mara anakula matapishi yake huo uenyekiti kama kazaliwa nao
 
kama mtu amesoma na ajaelimika huyo si Msomi hata angekua na CV nzuri kiasi gani kama yeye tu ajaelimika na kusoma kote huko atamuelimisha nani...
 
Anafundisha uchumi Azania high school
Natamani kujua Lipumba anafundisha wapi?
Anafundisha nini?
Wanafunzi wake wanamwelewa kweli?

Aliupataje Uprofesa?
Walompa walimzidi akili au akili zakezinafanana na zao?

Nina maswali mengi sana mwenye kujua anijuze.
a
 
Umemaliza ndugu yangu. Tatizo kubwa ni mazingira hasa ktk nchi zetu za kiafrika. Lipumba ana literatures nyingi nzuri na zenye msaada mkubwa tatizo kariba ya mwafrika ni kuogopa maandishi hatutaki kuzisoma na kuzitumia. At one time Lipumba aliwahi kuwa mshauri wa maswala ya uchumi hapo nchi jirani kwa Musevi na alifanikiwa coz kazi yake ilionekana. Tukubali kwamba siku zote NABII HAKUBALIKI KWAO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…