Kama kuna kitu nimekuwa nikitafakali siku hizi tunavyoomboleza kifo cha Madiba, ni kuangalia kama hata siku moja ikatokea CCM ikapata mtu mwenye kariba ya Mandela kwenye uongozi wake!
Mandela alikuwa mtu jasiri na anayesimamia kitu alichokuwa akikiamini na mtu mwenye msamaha wa hali ya juu na huruma, hivi huku kwetu, na haswa CCM inaweza kutokea akawepo kiongozi mwenye moyo huo? Tunaona jinsi wana CCM wanavyochukulia vitu, mfano kutokana na imani ya CCM, ukiwa upinzani ni adui unaye stahili kifo! Kweli itakuja tokea siku ambayo moyo wa Nelson Mandela utamvaa kiongozi wa CCM japo mmoja?
Kwa hali ya kawaida, ingetokea mimi ningekuwa kiongozi, ningewajali saana watu wangu, nadhani kisiasa CCM wanafikili kuwa wanawajali saana watu, je inapofikia kuwauwa au kuwatesa raina wako kwa mwanvuli wa kulinda amani, hivi kweli viongozi wa CCM wanakuwa wamelogwa? Mandela alisacrifice ili watu wake wawe huru, huku kwetu na chama chetu hiki kilichoshika hatamu ingeweza kutokeea hata siku moja, assume kama na sisi tungekuwa under upathaied? Nadhani hiyo ingekuwa loop hole ya baadhi ya familia "kupiga"!
Things happens for special reasons and bacomes a special lesson! Hebu viongozi mliopo madarakani mjifunze the way mnavyotakiwa kuendesha nchi, think others before yourself, hiyo ndio iwe spirit ya uongozi! Hili haswa linawahusu CCM, waachane na mtindo wa kusingizia kesi, kuuwa kama wanauwaga, kutesa watu, kuiba, n.k.
Nawasilisha
Abdulhaman Kinana anafaa kuwa mfano wa Mandela
Kikwete pia amefuata nyayo za Mandela
Umeona eeeh!Na hao Tembo watapona kweli, be serious bwana!
Mkuu kila zama ina vitabu vyake
Unajaribu kufanisha vitu viwili tofauti sana kuyaka atokee kiongozi kama Madiba kwenye ulimwengu wetu wa leo
Nyerere ndio kaliba ya akina mandela lakini hatakuja kutokea mtu kama Luther King USA maana zama zao zimepita
Au kwa maono yako na kwa jinsi ya swali lako unadhani mtu huyo anaweza kutokea nccr au tlp au cdm?
Lukuvi anafaa sana..
Team Lukuvi si ni sawa na Team Mwigulu a.k.a mabomu! Si ndio masterplan ya utetezi wa ulipuaji wa mabomu! Imagine mwingine yuko tayari kufa kwa ajiri ya wenzie huku kwetu wako tayari kuuwa kila mtu ili wale! MMMH!
Kama kuna kitu nimekuwa
nikitafakali siku hizi tunavyoomboleza kifo cha Madiba, ni kuangalia
kama hata siku moja ikatokea CCM ikapata mtu mwenye kariba ya Mandela
kwenye uongozi wake!
Mandela alikuwa mtu jasiri na anayesimamia kitu alichokuwa akikiamini na
mtu mwenye msamaha wa hali ya juu na huruma, hivi huku kwetu, na haswa
CCM inaweza kutokea akawepo kiongozi mwenye moyo huo? Tunaona jinsi wana
CCM wanavyochukulia vitu, mfano kutokana na imani ya CCM, ukiwa
upinzani ni adui unaye stahili kifo! Kweli itakuja tokea siku ambayo
moyo wa Nelson Mandela utamvaa kiongozi wa CCM japo mmoja?
Kwa hali ya kawaida, ingetokea mimi ningekuwa kiongozi, ningewajali
saana watu wangu, nadhani kisiasa CCM wanafikili kuwa wanawajali saana
watu, je inapofikia kuwauwa au kuwatesa raina wako kwa mwanvuli wa
kulinda amani, hivi kweli viongozi wa CCM wanakuwa wamelogwa? Mandela
alisacrifice ili watu wake wawe huru, huku kwetu na chama chetu hiki
kilichoshika hatamu ingeweza kutokeea hata siku moja, assume kama na
sisi tungekuwa under upathaied? Nadhani hiyo ingekuwa loop hole ya
baadhi ya familia "kupiga"!
Things happens for special reasons and bacomes a special lesson! Hebu
viongozi mliopo madarakani mjifunze the way mnavyotakiwa kuendesha nchi,
think others before yourself, hiyo ndio iwe spirit ya uongozi! Hili
haswa linawahusu CCM, waachane na mtindo wa kusingizia kesi, kuuwa kama
wanauwaga, kutesa watu, kuiba, n.k.
Nawasilisha
mjomba umekurupuka sana , hoja ya leo inaihusu ccm tu , haya mengine wala hata hatuyajui .hata ndani ya chadema kwa walioko sasa hawezi kupatikana
mie napendekeza Mbowe na Babu slaa wawe mfano kwakuwa ni wanademocrasia wa kweli kwani wana miaka sasa hawataki kutoka katika nafasi zao,tuanze na hao ndo twende chama dume lililo mwezesha hata huyo mandela.