Hivi kwenye CCM tunaweza kuja kumpata kiongozi mwenye kariba ya Mandela?

Kasimba G

JF-Expert Member
Jan 19, 2011
3,436
2,000
Kama kuna kitu nimekuwa nikitafakali siku hizi tunavyoomboleza kifo cha Madiba, ni kuangalia kama hata siku moja ikatokea CCM ikapata mtu mwenye kariba ya Mandela kwenye uongozi wake!

Mandela alikuwa mtu jasiri na anayesimamia kitu alichokuwa akikiamini na mtu mwenye msamaha wa hali ya juu na huruma, hivi huku kwetu, na haswa CCM inaweza kutokea akawepo kiongozi mwenye moyo huo? Tunaona jinsi wana CCM wanavyochukulia vitu, mfano kutokana na imani ya CCM, ukiwa upinzani ni adui unaye stahili kifo! Kweli itakuja tokea siku ambayo moyo wa Nelson Mandela utamvaa kiongozi wa CCM japo mmoja?

Kwa hali ya kawaida, ingetokea mimi ningekuwa kiongozi, ningewajali saana watu wangu, nadhani kisiasa CCM wanafikili kuwa wanawajali saana watu, je inapofikia kuwauwa au kuwatesa raina wako kwa mwanvuli wa kulinda amani, hivi kweli viongozi wa CCM wanakuwa wamelogwa? Mandela alisacrifice ili watu wake wawe huru, huku kwetu na chama chetu hiki kilichoshika hatamu ingeweza kutokeea hata siku moja, assume kama na sisi tungekuwa under upathaied? Nadhani hiyo ingekuwa loop hole ya baadhi ya familia "kupiga"!

Things happens for special reasons and bacomes a special lesson! Hebu viongozi mliopo madarakani mjifunze the way mnavyotakiwa kuendesha nchi, think others before yourself, hiyo ndio iwe spirit ya uongozi! Hili haswa linawahusu CCM, waachane na mtindo wa kusingizia kesi, kuuwa kama wanauwaga, kutesa watu, kuiba, n.k.

Nawasilisha
 
mzee wa miba

JF-Expert Member
Dec 20, 2011
762
0

Abdulhaman Kinana anafaa kuwa mfano wa Mandela
 
Paul S.S

Verified Member
Aug 27, 2009
6,098
2,000
Mkuu kila zama ina vitabu vyake
Unajaribu kufanisha vitu viwili tofauti sana kuyaka atokee kiongozi kama Madiba kwenye ulimwengu wetu wa leo

Nyerere ndio kaliba ya akina mandela lakini hatakuja kutokea mtu kama Luther King USA maana zama zao zimepita

Au kwa maono yako na kwa jinsi ya swali lako unadhani mtu huyo anaweza kutokea nccr au tlp au cdm?
 
Kasimba G

JF-Expert Member
Jan 19, 2011
3,436
2,000
Mkuu kila zama ina vitabu vyake
Unajaribu kufanisha vitu viwili tofauti sana kuyaka atokee kiongozi kama Madiba kwenye ulimwengu wetu wa leo

Nyerere ndio kaliba ya akina mandela lakini hatakuja kutokea mtu kama Luther King USA maana zama zao zimepita

Au kwa maono yako na kwa jinsi ya swali lako unadhani mtu huyo anaweza kutokea nccr au tlp au cdm?

Sio lazima uongelee mambo ya upigania uhuru, i meant spirit, kama ya kusamehe, kutokuwazulu wenzio n.k.
 
Kasimba G

JF-Expert Member
Jan 19, 2011
3,436
2,000
Lukuvi anafaa sana..

Team Lukuvi si ni sawa na Team Mwigulu a.k.a mabomu! Si ndio masterplan ya utetezi wa ulipuaji wa mabomu! Imagine mwingine yuko tayari kufa kwa ajiri ya wenzie huku kwetu wako tayari kuuwa kila mtu ili wale! MMMH!
 
MTENGETI

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
2,379
2,000
Kwa maccm hakuna hata mmoja ina maana ww mleta uzi hujui kuwa maccm hakuna mwenye moyo wa nyama na damu? Maccm yote yana mioyo ya nzege kali ! Swine kabisa maccm
Team Lukuvi si ni sawa na Team Mwigulu a.k.a mabomu! Si ndio masterplan ya utetezi wa ulipuaji wa mabomu! Imagine mwingine yuko tayari kufa kwa ajiri ya wenzie huku kwetu wako tayari kuuwa kila mtu ili wale! MMMH!
 
MAN FROM PAWAGA

JF-Expert Member
Apr 6, 2012
248
0
Kama kuna kitu nimekuwa
nikitafakali siku hizi tunavyoomboleza kifo cha Madiba, ni kuangalia
kama hata siku moja ikatokea CCM ikapata mtu mwenye kariba ya Mandela
kwenye uongozi wake!

Mandela alikuwa mtu jasiri na anayesimamia kitu alichokuwa akikiamini na
mtu mwenye msamaha wa hali ya juu na huruma, hivi huku kwetu, na haswa
CCM inaweza kutokea akawepo kiongozi mwenye moyo huo? Tunaona jinsi wana
CCM wanavyochukulia vitu, mfano kutokana na imani ya CCM, ukiwa
upinzani ni adui unaye stahili kifo! Kweli itakuja tokea siku ambayo
moyo wa Nelson Mandela utamvaa kiongozi wa CCM japo mmoja?

Kwa hali ya kawaida, ingetokea mimi ningekuwa kiongozi, ningewajali
saana watu wangu, nadhani kisiasa CCM wanafikili kuwa wanawajali saana
watu, je inapofikia kuwauwa au kuwatesa raina wako kwa mwanvuli wa
kulinda amani, hivi kweli viongozi wa CCM wanakuwa wamelogwa? Mandela
alisacrifice ili watu wake wawe huru, huku kwetu na chama chetu hiki
kilichoshika hatamu ingeweza kutokeea hata siku moja, assume kama na
sisi tungekuwa under upathaied? Nadhani hiyo ingekuwa loop hole ya
baadhi ya familia "kupiga"!

Things happens for special reasons and bacomes a special lesson! Hebu
viongozi mliopo madarakani mjifunze the way mnavyotakiwa kuendesha nchi,
think others before yourself, hiyo ndio iwe spirit ya uongozi! Hili
haswa linawahusu CCM, waachane na mtindo wa kusingizia kesi, kuuwa kama
wanauwaga, kutesa watu, kuiba, n.k.

Nawasilisha

mie napendekeza Mbowe na Babu slaa wawe mfano kwakuwa ni wanademocrasia wa kweli kwani wana miaka sasa hawataki kutoka katika nafasi zao,tuanze na hao ndo twende chama dume lililo mwezesha hata huyo mandela.
 
Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
79,050
2,000
NAKUSHUKURU KWA SWALI LAKO ZURI SANA , Japo sijaridhishwa na kutajwa kwa ccm kwenye jambo linalomhusu MANDELA , HAKUNA MIONGONI MWAO aliyewahi , ama hata atakayekuja kufanana naye , kuitaja ccm kwenye huu msiba wa dunia ni SAWA NA KUMWAGA UVUNDO WA SHOMBO LA SAMAKI VIBUA JUU YA JENEZA LAKE ! Kwa leo nimekusamehe lakini usirudie tena next time .
 
Kasimba G

JF-Expert Member
Jan 19, 2011
3,436
2,000
mie napendekeza Mbowe na Babu slaa wawe mfano kwakuwa ni wanademocrasia wa kweli kwani wana miaka sasa hawataki kutoka katika nafasi zao,tuanze na hao ndo twende chama dume lililo mwezesha hata huyo mandela.

Wewe mwagito, au ndio div 5 nini? Hoja inaelezea viongozi wa kiserikali walioko madarakani wewe unaelezea watu wako! Nani kakuambia Dr Slaa hataki toka madarakani? Au ndio mnadanganywaga hivyo kwenye vikao vya chama chenu? Kweli nanusa harufu ya Div 5 Hapa!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom