Kasimba G
JF-Expert Member
- Jan 19, 2011
- 3,428
- 2,609
Kama kuna kitu nimekuwa nikitafakali siku hizi tunavyoomboleza kifo cha Madiba, ni kuangalia kama hata siku moja ikatokea CCM ikapata mtu mwenye kariba ya Mandela kwenye uongozi wake!
Mandela alikuwa mtu jasiri na anayesimamia kitu alichokuwa akikiamini na mtu mwenye msamaha wa hali ya juu na huruma, hivi huku kwetu, na haswa CCM inaweza kutokea akawepo kiongozi mwenye moyo huo? Tunaona jinsi wana CCM wanavyochukulia vitu, mfano kutokana na imani ya CCM, ukiwa upinzani ni adui unaye stahili kifo! Kweli itakuja tokea siku ambayo moyo wa Nelson Mandela utamvaa kiongozi wa CCM japo mmoja?
Kwa hali ya kawaida, ingetokea mimi ningekuwa kiongozi, ningewajali saana watu wangu, nadhani kisiasa CCM wanafikili kuwa wanawajali saana watu, je inapofikia kuwauwa au kuwatesa raina wako kwa mwanvuli wa kulinda amani, hivi kweli viongozi wa CCM wanakuwa wamelogwa? Mandela alisacrifice ili watu wake wawe huru, huku kwetu na chama chetu hiki kilichoshika hatamu ingeweza kutokeea hata siku moja, assume kama na sisi tungekuwa under upathaied? Nadhani hiyo ingekuwa loop hole ya baadhi ya familia "kupiga"!
Things happens for special reasons and bacomes a special lesson! Hebu viongozi mliopo madarakani mjifunze the way mnavyotakiwa kuendesha nchi, think others before yourself, hiyo ndio iwe spirit ya uongozi! Hili haswa linawahusu CCM, waachane na mtindo wa kusingizia kesi, kuuwa kama wanauwaga, kutesa watu, kuiba, n.k.
Nawasilisha