Hivi Kweli Ni Kwa Nini?

SHIEKA

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Posts
8,240
Reaction score
4,280
Jamani,ninatezamaga vituo kadhaa vya tv hapa nchini na hakuna hata kimoja kati ya hivyo kinachotangaza saa kama kwenye radio, hasa kabla ya taarifa ya habari. Hivi kweli ni kwa nini?
 
vipindi vyao vingi ni recorded,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…