Sabi Sanda
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 409
- 31
Mkuu vipi tena mbona unajivunjia heshima yako?haieleweki unataka kufikisha ujumbe gani!!Kama Kweli Basi Tuanzishie Kodi ya Gari Lisilo La ABIRIA ya Kiwango CHA SHILINGI ELFU 75 KWA GARI KWA SIKU...NA TUELEZE MAPATO YETU YATAKAYOTOKANA NA HII KODI MAALUM SANA NA MPYA MMNO YATAKUAJE KILA SAA, KILA SIKU, KILA WIKI, KILA MWEZI, KILA ROBO MWAKA, KILA NUSU MWAKA, KILA ROBO TATU YA MWAKA, KILA MWAKA NA KILA BAADA YA MIAKA MITANO KWA MIAKA 49 IJAYO.
Hata wageni tunakushangaa maana hatujui unasema nini.
Kama ni ujumbe mahsusi wa MMM kwa nini usimpelekee kwenye email yake au PM.
Pata supu ya makongoro huwa inasaidia kupunguza ......
mtoa mada atakuwa mtaalamu wa cryptography.
MD-5.
Mwanakijiji anayo Key.
bila shaka ata-decrypt.
hahaha!!!
Hiyo heading na thread yenyewe ni mbwaaa! Mbwaaa! Toka jamvini jf premium member.
mtoa mada atakuwa mtaalamu wa cryptography.
MD-5.
Mwanakijiji anayo Key.
bila shaka ata-decrypt.
hahaha!!!
Mwanakijiji anayo Key.