Kama hujui kwamba mungu yupo basi uwezo wako wa kufikili ni mdogo Sana, tena Sana.
Haiwezekani simu, magari, ndege, computer nk viwepo tu kwa babati mbaya. Kuna akili ilitumika kuviunda.
Ni hivyo, hivyo Binadamu, mfumo wa mvua, bahari, mifumo ya anga, wanyama, tabia za madini viwepo tu bila akili. Yupo aliyevitengeza