Jaman nimeumizwa mpaka nimepata ugonjwa wa moyo. Kiac cha kwamba kila mwanaume anayenitaka naona taabu kufungua moyo wangu kwake. Nimewah kuwa na marafiki wawili wa kiume mpaka umri huu wa miaka 31. Nifanyeje jaman nataman kupata watoto ila nikikumbuka maumivu nlyopata nakosa ujasiri. Nishaurini mwenzenu.
samaki mmoja akioza sio wote hawafai inaonekana una mtazamo hasi juu wanaume badilika kuanzia moyoni utampata wa kuinjoi nae love
Jaman nimeumizwa mpaka nimepata ugonjwa wa moyo. Kiac cha kwamba kila mwanaume anayenitaka naona taabu kufungua moyo wangu kwake. Nimewah kuwa na marafiki wawili wa kiume mpaka umri huu wa miaka 31. Nifanyeje jaman nataman kupata watoto ila nikikumbuka maumivu nlyopata nakosa ujasiri. Nishaurini mwenzenu.
Hajazungumzia mtazamo hasi hapa. Kasema katendwa mara zote anapokuwa kwenye relation, hivyo anaogopa kuingia tena.
Au wewe una maanisha nini unapozungumzia negative attitude?
Jaman nimeumizwa mpaka nimepata ugonjwa wa moyo. Kiac cha kwamba kila mwanaume anayenitaka naona taabu kufungua moyo wangu kwake. Nimewah kuwa na marafiki wawili wa kiume mpaka umri huu wa miaka 31. Nifanyeje jaman nataman kupata watoto ila nikikumbuka maumivu nlyopata nakosa ujasiri. Nishaurini mwenzenu.
Ni pm tuongee,maana na mm nilianzisha thread hapa ya kutafuta mke ila responde haikuwa poa.njoo pm njoo tuzungumzeJaman nimeumizwa mpaka nimepata ugonjwa wa moyo. Kiac cha kwamba kila mwanaume anayenitaka naona taabu kufungua moyo wangu kwake. Nimewah kuwa na marafiki wawili wa kiume mpaka umri huu wa miaka 31. Nifanyeje jaman nataman kupata watoto ila nikikumbuka maumivu nlyopata nakosa ujasiri. Nishaurini mwenzenu.
alonipendaga mi ni mmoja tu...hawa wengine hawaaaa mhm
anahisi akifungua moyo atatendwa tena ni mtazamo hasi huo