ABDUL JIRANI
Senior Member
- Jul 20, 2013
- 176
- 52
mmnh kama unaujali urafki wko na rafki yako mfoadie msg na umwambie amkanye demu wake
wanawake wako wengi ni mbaya kutembea na demu wa rafiki yako
Ni kwel ila msumbufu hata ukimkatalia bado anakuwa kinganganiz
Ivi ni kweli yeye anakusumbua au ni wewe ndie unaemsumbua?
Mhhhhh, sitaki/nataka!!!!!!Ni kwel ila msumbufu hata ukimkatalia bado anakuwa kinganganiz
Angekuwa rafiki yako kweli wala usingeanzisha thread hii
Ni swahiba kabisa na nimeleta ili nipate ushaur
Ni kwel ila msumbufu hata ukimkatalia bado anakuwa kinganganiz
mueleze rafk ako kwa vidhibitisho vya msg au audio
mahusiano na wapenzi wa marafiki uishia kwenye huki na uhasama