Hi jF,ebana mi kunakitu ambacho hata risearch yake bado inanitatiza heb naomba mnsaidie il nipatekuandika ripot ilyo kamilika.Juz kat nilisikia mazee wakisuluhisha ndoa ambayo ilkua karbu kuvunjika.Wazee hawakujua chanzo ni nn maana mme anasema 'mke wangu anakibur han heshim,mwanamke nae 'mme wangu mie ninachotaka hantimizii'.Mzee mmoja akasema sababu ndo hizo tu,mbona za kawaida.Ikabd waknamama wakae na binti ili kumdadis,bint si akalopoka,'et yeye anataka kila siku wakat mm sina hamu,wakamuli,kwann huna ham, bint 'huwa nachoma dawa za uzaz wa mpango.Wazee walipopewa ripot waliduwaa hawakua na jibu.JAMANI ET HII NI NIKWELI.