my name is my name
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 2,017
- 2,384
Sio ninyi ndo mmekua mkituponda wanaume weupe imekuaje mnabadilika?Mimi sioni kama Black ni beautiful. Huu msemo uko kama wakujiliwaza kwa watu weusi kujipa moyo lakini ukweli hakuna kitu kizuri cheusi. Vitu vyote vizuri vinavovutia ni nyeupe. Mimi ndio maana sipendi kuwa na relationship na wanaume weusi kwa sababu hawanivutii hawana mvuto.
Bila shaka wewe ni mmoja wa wale mliokuwa mnatoa comments za kibaguzi kwa Klepin Diatta wa Senegal kuhusu muonekano alionao na rangi ya ngozi yake.Mimi sioni kama Black ni beautiful. Huu msemo uko kama wakujiliwaza kwa watu weusi kujipa moyo lakini ukweli hakuna kitu kizuri cheusi. Vitu vyote vizuri vinavovutia ni nyeupe. Mimi ndio maana sipendi kuwa na relationship na wanaume weusi kwa sababu hawanivutii hawana mvuto.
Mimi nimesema upande wangu. Black yeyote tu awe male au female sioni kama wanavutia.Sio ninyi ndo mmekua mkituponda wanaume weupe imekuaje mnabadilika?
Huyo uliyemtaja ni nani sijawahi hata kumsikia. Ndio mimi mtu mweusi lakini sina rangi mweusi nyeusi na sivutiwi na watu wenye rangi nyeusi hasa ktk uhusiano.Bila shaka wewe ni mmoja wa wale mliokuwa mnatoa comments za kibaguzi kwa Klepin Diatta wa Senegal kuhusu muonekano alionao na rangi ya ngozi yake.
Sasa hivi tunavyoondika hapa yeye na timu yake wako uwanjani wanasaka tiketi ya kushiriki nusu fainali ya Afcon, wakati litimu lenu limeshatoka na tumelisahau... mamaee.
Halafu unavyoongelea mtu mweusi na mtu mweupe unamaanisha nini hasa lightskin na darkskin au? maana hata wewe hapo ni mtu mweusi manyoko.
Bila shaka wewe unatokea kanda ya Ziwa maana mnachanganyikiwa sana na rangi nyeupeMimi sioni kama Black ni beautiful. Huu msemo uko kama wakujiliwaza kwa watu weusi kujipa moyo lakini ukweli hakuna kitu kizuri cheusi. Vitu vyote vizuri vinavovutia ni nyeupe. Mimi ndio maana sipendi kuwa na relationship na wanaume weusi kwa sababu hawanivutii hawana mvuto.
Kama mm jomoniii....watraammm ila asiwe wa kudimba tuu...japo nilishawahi kuvutiwa na weupe kidogo..Eeeh napenda mwanaume mweusi
Mweusi huyoHivi huyu ni mweusi au niView attachment 1150804 mweupe?
Chocolate,.Hivi huyu ni mweusi au niView attachment 1150804 mweupe?
Iko hivi, uwe unafanana kama Moze Iyobo au Hemedy Suleiman, so long as wewe ni mtu unayotoka jamii ya watu weusi mbele ya macho ya mzungu utaendelea kuwa Nyani tu.Huyo uliyemtaja ni nani sijawahi hata kumsikia. Ndio mimi mtu mweusi lakini sina rangi mweusi nyeusi na sivutiwi na watu wenye rangi nyeusi hasa ktk uhusiano.