Nimeangalia sana wakati anaongea Mnyika wakawa wanakata. Wenyewe wana mpango wa chini ya meza eti kukifanya ACT kuwa chama kikuu cha upinzani, maana kinafanya siasa za kuinyenyekea ccm.
Usuperbrand uliondoka na tajiri yake, hapa shida watu wanawaza teuzi, hivyo wanawiwa kuyaandaa mazingira ya uteuzi, hiyo ndio tabu yenyewe , akitafakari mtu anawanza wenzangu kalashavu, Mimi na baki kuuza sura. Mnapotea mnaiua brand.