Hivi kwanini watu wengi upinga mwanzoni kwa mambo yanayoangalia ufanisi kwa miaka ya mbele?

chizcom

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
7,581
15,721
Kuna mada nyingi na watu wengi wengi wanakuwa ni watu wakujua kuliko mtoa habari,mgunduzi,mtafiti.wakati wao walikuwa wapi mpaka kufanyia kazi hiyo.

Wapo humu na watakuwepo wataangalia ulikosea kuandika ili wa wawe wagunduzi zaidi.
Kama teknolojia ya memory ya kutunza kumbumbuku ilikuwa hivi.kipindi hicho ukimweleza kutakuwa na memory isiyo zidi kidole.

IMG_3122.jpg


Wapo humu na wazuri kujua waje waongee vzuri maana ni wajuaji sana
 
Ndiyo maana tunasema ''you are Talented guy'' Vipawa adimu'' hicho kila mtu anacho cha kwake pekee yake ukimwambia mtu mwingine au ukimshirikisha mtu mwingine hakuelewi!!! kuna njia bwena za kukitambua kipaji chako wewe mtu awaye yeyote sasa hilo ni somo lingine kwa wakati mwingine.

Ni sawa na Mwanamuziki wa Bongo Diamond Platinamuz zamani zile alivo kuwa anamwambia Dudu baya ''siku zijazo mimi nitakuwa Mwanamuziki wa kimataifa'' Dudu Baya akasema kwa hasira ''Dogo acha ungese wewe hivi unaujua muziki kweli wewe ? hata wa mitaani tu?

Mipambe ikadakia haraka haraka ''ajue wapi kujifanya fanya tu'' yaani kuwa pamoja na sisi anaona kafiika!! eti na yeye ni super Star?! kwa sababu hii wakamtenga fulani hivi, ili ahadhirike! dogo Mond nae kweli akawa kivyake!

so alijaribu kutoka kivingine kabisa kwa kuunga unga, mpaka leo anaogelea kwenye u-super star Duniani siyo wanamuogopa tu! na kumtamani kwanza wataonana nae wapi? ! japo wanamsikia?

Yaani kama kipaji kipo Bro! kipo tu watu baki hawakielewi kabisaa bali ni wewe kujielewa, na kukifuata hicho na kukifanyia kweli maajabu! ni wewe tu unakiweza, Mtu akiroga atajibiwa na asiowajua tena vibaya sana.

Ndivo Mungu alivoamua hata aje nani labda huyohuyo Mungu tu ndo anaweza kukupiga stop! waswahili wanasemaga ''kama ipo...ipo tu! yaani mimi napenda sana huu msemo! mfano mzuri ni Magu amepangua awamu mbili

yaani huyu mzee alikuwa hana mpango wa kuwa Rais zaidi ya kula vihepe tuuu! kule Chato! hamad! jioni moja akiwa anatafuta kitoweo cha samaki akashukiwa na afisa usalama mmoja ''Bwanae nimekuja'' enhee! nimeambiwa u jaze fomu hizi'' akasema mimi?

Nika cheeeka sana!
 
Asili ya binadamu sio mtu wa kukubali mabadiliko kwa urahisi kwa sababu huwa hana uhakika kama mabadiliko hayo yatakuwa na tija au kuharibu tu maisha yake ya siku zote aliyoyazoea.
 
Kuna mada nyingi na watu wengi wengi wanakuwa ni watu wakujua kuliko mtoa habari,mgunduzi,mtafiti.wakati wao walikuwa wapi mpaka kufanyia kazi hiyo.

Wapo humu na watakuwepo wataangalia ulikosea kuandika ili wa wawe wagunduzi zaidi.
Kama teknolojia ya memory ya kutunza kumbumbuku ilikuwa hivi.kipindi hicho ukimweleza kutakuwa na memory isiyo zidi kidole.

View attachment 1650874

Wapo humu na wazuri kujua waje waongee vzuri maana ni wajuaji sana
Tittle ulivyoiandika inaashiria wewe una umri gani
 
Kwani kipindi kile Leonardo da Vinci anagundua vitu aliambiwaje na jamii yake? Galileo Galilei je alipogundua darubini upeo yake, je si aliitwa mzushi na kanisa likamfungia akaishia kuishi ndani mbaka mauti,hata humu kuna mijitu mibishi balaa inaishi kwa kukariri balaa!
 
Upinga ndio nini???
Mkuu kajifunze kwanza kiswahili kisha urudi tena humu uandike vizuri
 
ila swala la mtu kuamini kwenye kufanikisha kitu fulani uwa lina determine nature ya muusika kwenye kukisimamia na kweli kama ukiamua kinakua vile unavyotaka yaaan mm hichi kitu naaamini kabisa

sema uoga na maneno ya watu kwenye kukukatisha tamaa ndo linakuaga tatizo miongoni mwa walio wengi
 
Back
Top Bottom