bomouwa
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 1,149
- 798
Habari wanajamvi?
Nimekua nikiangalia nyuzi na michangi ya wanajamvi kwa muda sana na kuna jambo nimeliona sina budi kuwaambia.
Unakuta mtu katuma taarifa ya majonzi mathalani kifo akisema "watu 10 wafariki dunia mkoani mbea", halafu akaweka maelezo ya habari na.msomaji ukaelewa ni habari ya msiba.
Unamkuta mwanajamvi anaweka " " yaani ame"LIKE" habari hyo ya majonzi. Sasa mie najiuliza tu,nyie ambao mnatumia emoji ya dole gumba katika habari za namna hyo mnaakili timamu kweli?
Mfano habari ya binti wa morogoro unakuta mtu anaweka "" sasa unajiuliza hivi uyu mtu aliependa hii habari je,kichwa yake inaakili timamu kweli?
My take
Ni muhimu kufahamu maudhui ya emoji na msikurupuke.
Cc
Nyaningabu
Gentmycine
Faizafox
Etc