ngosha wa mwanza
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 5,074
- 15,917
wrong number... sasa kilichomkimbiza nini..!Ilikuwa 'wrong number' tu,
Mmh, nafikir endelea mtafuta kwa ndugu zake pia tafuta sababu za yy kuchepuka, na kwa mwanamke kuanza kucheat si swala nzuri ila mtafute umpate afu muyazungumze kama ikishindikana ww mhusika utaamua mwenyewe kumshaur MTU aliyecheat inakua ngumu mana moyo ndio hua mzungumzaji mkuu unaweza shauriwa mwache hakufai ila ww bado unamwitaji ,pole sanaWanabodi,
Yamenikuta mwanaume mwenzenu, yaani shemeji yenu aliyonifanyia sitakaa nisahau, Juzi niliamua kujipumzisha nyumbani sasa nikiwa busy kuangalia movie simu ya wife ikaita maana alikua ameiacha chaji wala mimi sikujua kama kaiacha chaji kutokana na mimi kutopenda kufatilia simu ya wife sikutaka kujua ni nani anapiga.
Huyo mtu aliendelea kupiga sasa mototo wangu mdogo anamazoea simu ikiita hua anaichomoa chaji na kumpelekea mwenye simu dah mwanangu akaichomoa ile simu kutoka nayo nje ampelekee mama yake.
Bahati mbaya mtoto akajikwaa akaanguka na simu mimi ikabidi niwahi kuangalia kama ameumia na nikajua hata simu itakua imeshavunja kioo si unayajua ma simu ya tach, dah dogo alikua poa na simu ilikua poa ila wakati nikiwa naiangalia simu kama hajapata damage ndo SMS ikaingia, mimi nikaona niicheki ndo nakutana na ujumbe baby mbona hupokei simu, yaani roho ilinidunda ghafla mapigo ya moyo yalibadilika maana sikutarajia kuona kitu kama hicho kwenye simu ya wife.
Nikajikaza kisabuni nikamjibu nilikua busy baby unasemaje? Jamaa akajibu yaani nimekumbuka mambo uliyonipa, sikutaka hata kuendelea nae nikaona nimwite wife maana alikua nje anafua nikamwonesha zile sms alicho kifanya ni kuondoka kusiko julikana mpaka sasa sijui aliko, hata ndugu zake nimewataarifu hawajamuona.
Jamani naombeni ushauri wenu maana sijielewi nifanye nini.
Haswaa ila yasikukute na ukajuakuchapiwa ni siri ya ndani
Hapana kwa nn aondokeIlikuwa 'wrong number' tu,
Bro ni true story yaan we achatuSijui kwanini ila nimeshindwa kuamini hii story
anyway itakua kaenda kwa huyo jamaa
Mm ni nasafiri sana mkuu ila game hua nampa la kutosha na pesa sio shida sasa sijui ni nn kinamsumbuahalafu ujikute wewe huambiwagi kuwa unajua mchezo kwenye 6 by 6 sasa jamaa anasifiwa, hahahaha utatamani umuulize jamaa anamgegedaje.
pole sana mkuu.
kumbe ndo maaaaaaana, nilijua uko nae siku zote.Mm ni nasafiri sana mkuu ila game hua nampa la kutosha na pesa sio shida sasa sijui ni nn kinamsumbua
Na kweliMzinzi huyo mwache aende tu atakuua na migonjwa ya ajabuajabu
Ila kweli ndo nimeamin mwanamke c MTU yaan unamwamini kumbe yy anayakwakeJinamizi limeingia nyumbani kwenu, akirudi mukae chini tu muyamalize kwa amani.
Kaka yaan hats kumuona ctaki maana yaan kachafua moyo wangu sanaMmh, nafikir endelea mtafuta kwa ndugu zake pia tafuta sababu za yy kuchepuka, na kwa mwanamke kuanza kucheat si swala nzuri ila mtafute umpate afu muyazungumze kama ikishindikana ww mhusika utaamua mwenyewe kumshaur MTU aliyecheat inakua ngumu mana moyo ndio hua mzungumzaji mkuu unaweza shauriwa mwache hakufai ila ww bado unamwitaji ,pole sana
Hahaaaaakuchapiwa ni siri ya ndani