Hivi kwanini wanaume tunapogundua huwa moyo unataka kuchomoka?

hhehehe!sasa bacha jamani!hahahaa!

what are you trying to say bacha!?....unataka kusema wewe ni HE?...kama ni HE basi utakuwa na ''nyuki'' mbili
 
usimkufuru mungu Teamo!

Kama unataka watu wajue jinsia yako...basi usijetetee...ila hata mi naona Teamo yuko right....na huyo mungu unayemleta katika thredi za MMU jf...!!!!
 
Jamani mimi yalishanikuta najiuliza nikwanini sisi wanaume tunapocheat hakuan neno lakini mpenzi wako akicheat naukajua ukimbilia uamzi wakumwacha??na kwanini roho iume wakati tunaweza kuwaacha nakutafuta mwingine??
Naunapomwona namwingine baada yakumwacha roho uenda mbio nawakati ulisha mwacha??Nini maana yake?? :confused2:

Ukiona umemwacha mtu na roho bado inakuuma ukimkuta na mwingine ujue bado unampenda.
 
Kama unataka watu wajue jinsia yako...basi usijetetee...ila hata mi naona Teamo yuko right....na huyo mungu unayemleta katika thredi za MMU jf...!!!!

mimi sijitetei ndugu ila nawakosoa kwa kuupotosha umma wa JF
 
hhehehe!sasa bacha jamani!hahahaa!

what are you trying to say bacha!?....unataka kusema wewe ni HE?...kama ni HE basi utakuwa na ''nyuki'' mbili

Halafu we teamo kwa nini unamng'ang'aniza mwenzio kuwa she? una maana gani
 
Sasa na wewe unaharibu unataka kuamsha hata na waliolala mimi nilikuwa nataka uni :gossip::gossip::gossip:na sio hapa hadharani

Sasa mbona wewe umeniuliza hapa hadharani c ungeni :gossip::gossip::gossip: haya karibu kule
 
Sasa mbona wewe umeniuliza hapa hadharani c ungeni :gossip::gossip::gossip: haya karibu kule

Nakuja ila nisikute kuna wagombea wengine maana mimi sijafundishwa jinsi ya kutoa tshirt na kofia za kijani
 
Asilimia 90 ya mamen wako hivyo ili ukimwacha mwanamke usianze kumkashifu na usiangilie yaliyopo angalia na yatakavyokuwa baadaye usije ukawa sitaki ukawa sitaki hlf nataka elewa kumuacha mtu isiwe mwanzo ugomvi na jua kwamba ulivyompenda wewe awali na wapo wataompenda zaidi yako kwani mungu hamtupi mja wake
 
Back
Top Bottom